Home »
Habari Moto
» IGP Simoni Sirro atembelea Kijiji alichouawa Mwenyekiti na Mtendaji Huko Kibiti.
Baada
ya mauaji ya Mwenyekiti wa Kitongoji na Afisa Mtendaji wa Kijiji cha
Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani,
IGP Simon Sirro ametembelea kijijini hapo kutoa pole kwa wafiwa.
IGP
Sirro amewataka wananchi kijijini hapo kutowafumbia macho wahalifu
wanaotenda mauaji hayo akiwataka kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa
kutoa taarifa za wahalifu hao.
IGP
Simon Sirro akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mangwi, Kata ya
Mchukwi alipokwenda kuwapa pole baada ya kutokea mauaji Mwenyekiti wa
Kitongoji na Afisa Mtendaji wa Kijiji.
IGP Sirro aizungumza na Wananchi wa Mangwi alipowatembelea baada ya mauaji ya Mwenyekiti wa Kijiji na Afisa Mtendaji
IGP Sirro akitoa rambirambi ya msiba kwa Wananchi wa kijiji cha Mangwi
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Agizo La Kuzuia Uvutaji Wa Sigara Na Matumizi Ya Bidhaa Za Tumbaku Katika Maeneo Ya Umma.Fahamu zaidi hapa.
Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inampongeza
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kupiga
marufuku matumizi ya Shisha na uvutaji wa Sigara hadharani kama afua ya
kupunguz… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Maiti Yazuiliwa hospitali ya Muhimbili ikidaiwa fedha.Fahamu zaidi hapa.
Hospitali
ya Taifa Muhimbili imegoma kuruhusu mwili wa marehemu Bi Hilda Lukas
miaka 30 aliyefariki dunia June 26 katika hospitali hiyo, akisumbuliwa
na ugonjwa wa utumbo kutoboka huku ikidai lazima fedha yote wanayomd… Read More
#YALIYOJIRI>>>Shahidi akwamisha Kesi ya IPTL dhidi ya Zitto Kabwe.Fahamu zaidi hapa.
Kampuni
ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ilifungua
kesi ya madai ya fidia ya Sh. bilioni 500 Mahakama kuu, kanda ya Dar es
Salaam dhidi ya Zitto Kabwe.
IPTL pamoja na wadai we… Read More
#YALIYOJIRI>>>Watu Wenye Ulemavu wa ngozi kuwafukuzisha Kazi Wakuu wa Wilaya , Mwanza Seebait.com 2016.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza John Mongella, amewaapisha wakuu wapya wa Wilaya za
Mkoa wa Mwanza na kuwapa vitendea kazi ikiwapo katiba ya Jamhuri ya
muungano wa Tanzania na Ilani ya Chama Tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM)
ya … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mahakama Yawataka Wabunge Halima Mdee na Mwita Waitara kuheshimu taratibu za kisheria.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imetoa onyo kwa Wabunge Halima
Mdee (Kawe) na Mwita Waitara (Ukonga) kwa kushindwa kufika mahakamani
kusikiliza kesi inayowakabili dhidi ya kumjeruhi Kat… Read More
0 comments:
Post a Comment