Wolper Awatolea Povu Wanaomuandama Kuhusu Jino Lake la Silver.
MWANADADA mwenye mvuto kwenye tasnia ya Filamu za Bongo, Jacquiline Wolper amewafungukia wanaochukua picha zake na kuzi-edit huku wakimchafua kuhusu jino lake analodai kuwa limetengenezwa kwa madini ya Silver.
Staa huyo am…Read More
Baada ya Kupitia Changamoto Vanessa Mdee Ashuhudia Maajabu.
Malkia wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi, Vanessa Mdee amekiri kushuhudia maajabu ya Mungu baada ya kupitia changamoto miezi ya mwanzo wa mwaka na hatimaye kumaliza mwaka kwa kusaini mkataba mnene na Kam…Read More
Zari na Hamissa Mobetto Wakutana Uso kwa Uso Uganda.
Kama ulifikiri kuwa baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady na Hamisa Mobetto bifu lao limetulia au kuisha kabisa utakuwa umekosea.
Zari na Hamisa wamekuwa wakiripotiwa kutoelewana na kurushiana vijembe katika mt…Read More
Ramsey Awapa Makavu Wema Sepetu na Ray.
STAA wa sinema za Nigeria (Nollywood), Ramsey Nouah amewalipua waigizaji wa filamu za Kibongo kwa kushindwa kuendeleza sanaa hiyo kwa kiwango alichoishia marehemu Steven Kanumba huku akilizungumzia kaburi la staa huyo, Ijum…Read More
0 comments:
Post a Comment