Yanga Kumkosa Tshishimbi Mechi ya Kesho.
Klabu ya Yanga imeeleza kuwa imejiandaa vyema kuelekea mchezo wa ligi
kuu ya soka Tanznaia Bara kesho dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa
Uhuru jijini Dar es salaam.
Akiongea na Wanahabari leo kwenye makao makuu ya kl…Read More
Ujumbe wa Ancelotti Baada ya Kufukuzwa.
Baada ya kufutwa kazi aliyekuwa kocha wa Bayern Munich Carlo Ancelotti
ameishukuru bodi ya timu hiyo kwa kumwamini pamoja na ushirikiano
waliompa katika kipindi chote alichofundisha timu hiyo.
Kupitia ukurasa wake wa Ins…Read More
0 comments:
Post a Comment