Home »
Habari Moto
» Mwanamuziki Bob Junior Akamatwa na Polisi Kwa Tuhuma za Kushirikiana na Majambazi.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa muziki wa bongo fleva Bob Junior amekamatwa na jeshi la Polisi
nyumbani kwao magomeni mapipa Jijni Dar es salaam majira ya saa sita
mchana wa leo.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari ambaye ni rafiki wa karibu wa Bob
Junior ameiambia Mtembezi.com kuwa Polisi wamemkamata Msanii huyo kwa
kile walichodai kuwa wamepata taarifa kuwa Bob Junior anashirikiana na
kikundi cha majambazi.
Rafiki huyo wa karibu na Bob Junior, ameiujuza mtembezi.com kuwa Msanii
huyo amekuwa akipigiwa simu tangu juzi kutoka kituo cha polisi cha
magomeni usalama kwamba kuna lalamiko la mtu anaye dai kutekwa na
kikundi cha majambazi ambacho msanii huyo anashirikiana nacho
Related Posts:
Zitto Kabwe: Rais Magufuli Amemzuia RC Makonda Kutokea Mbele ya Kamati ya Bunge.Fahamu zaidi hapa.
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe Zitto Kabwe.
Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge ya
Haki, Kinga na Madaraka kujibu tuhuma zake dhidi kudharau wabunge Kama
Bunge lilivy… Read More
HIVI NDIVYO MTANDAO MAARUFU WA UINGEREZA ULIVYO MWANDIKA NAPE BAADA YA KUTIMULIWA UWAZIRI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Tanzanian minister sacked after condemning TV intrusion
Tanzania’s information minister was fired on Thursday after he
criticised an ally of President John Magufuli who had stormed into a
television station accompanied… Read More
Video>>>Harmorapa Atimua Mbio Baada ya Kuiona Bastola Aliyotishiwa Nape.
Leo Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Nape Nnauye na nafasi yake amepewa Dr. Mwakyembe.
Baadaye
Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari
lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyik… Read More
Juu ya Jina la Bashite,Wadai ni Lake Kabisa,Wamshangaa Kujiita Paul,Wadai Toka Apate Madaraka Kawasusa Huko Kijijini.Fahamu zaidi hapa.
Mzee Khamesse
Kutokana na kuwepo kwa taarifa za Paul Makonda kulelewa katika familia
ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Mwanza, Seleman Khamesse, JAMHURI limefika
nyumbani kwa Mzee Khamesse, katika eneo la Nyamanoro, jijini M… Read More
Kimenukaa..Mwigulu Nchemba Aingilia Kati Suala la Nape,Atoa Amri kwa IGP.Fahamu zaidi hapa.
Mh.Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni mbunge, mjumbe wa NEC
wa CCM, hana record ya uhalifu. Kitendo cha mtu kumtolea Bastola, Sio
cha kiasikari, sio cha kitanzania na sio cha ki Mungu, kama mtu ameweza
kuto… Read More
0 comments:
Post a Comment