Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>AJALI NYINGINE INAYOHUSISHA BASI LA MWENDO KASI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ajali nyingi zimekuwa zikitokea Tangu
kuanza kwa Magari yaendayo kasi, huku kubwa zaidi ikidaiwa kuwa suala la
elimu kuhusu matumizi ya njia za magari yaendayo kuwa kikwazo kwa
baadhi ya madereva wa magari na bodaboda.
Katika pitapita za Mtembezi imekutana
na ajali inayolihusisha basi la mwendo kasi na gari lenye namba za
usajili T 154 DEP katika barabara ya Morogoro, jirani na msikiti mkubwa
wa dhehebu la Shia jijini Dar es Salaam.
Basi hili la Mwendokasi lilikuwa
linaelekea Kimara, huku gari hiyo ikiwa inatokea maeneo ya Msikiti huo
mkubwa wa dhehebu la Shia, hakuna kifo wala majeruhi walioripotiwa licha
ya gari lenye namba za usajili T 154 DEP kuchubuliwa na kubonyea kwa
ndani.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli , Samia na Kassim Majaliwa Ziarani nje kwa Mpigo - Mwanasheria mkuu atoa ufafanuzi kuhusu kaimu Rais.Fahamu zaidi hapa.
Viongozi wakuu wote wa Taifa wako nje ya nchi katika ziara za kiserikali kwenye mataifa tofauti.
Rais
John Magufuli aliwasili Uganda jana asubuhi kuhudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo, Yoweri … Read More
#YALIYOJIRI>>>Magari ya Washawasha Yazua Mjadala Bungeni.Fahamu zaidi hapa.
Magari
ya washawasha jana yaliibua mjadala bungeni baada ya mbunge wa Viti
Maalumu, Susan Lyimo (Chadema) kubanwa athibitishe kauli yake aliyoitoa
kuwa serikali ilinunua magari ya Polisi ‘Washawasha” 777 wak… Read More
#YALIYOJIRI>>>>WAZIRI MKUU MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS JOHN MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA KUPAMBANA NA RUSHWA LONDON.Fahamu zaidi hapa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster
House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi
kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, May 12, 2016. Majaliwa alimwakilisha… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mpinzani wa Museveni , Dr Kiiza Besigye Akamatwa Baada ya Kujiapisha Kuwa Rais.Fahamu zaidi hapa.
Mpinzani
mkuu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Dk. Kizza Besigye ambaye
amekuwa akipinga ushindi wa Rais huyo, amekamatwa na polisi wa nchi hiyo
baada ya jana kujiapisha kuwa Rais ikiwa ni siku moja tu (leo) kabla ya
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mtoto wa marehemu, Chacha Wangwe afikishwa kortini kwa makosa ya kimtandao.Fahamu zaidi hapa.
BOB
Chacha Wangwe (24), mtoto wa mwanasiasa marehemu Chacha Wangwe,
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za
kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
Akisoma
kesi hiyo namba 16… Read More
0 comments:
Post a Comment