Sunday 9 October 2016

#YALIYOJIRI>>>>HUYU NDIYE MWALIMU ALIYE REKODI TUKIO LA KIKATILI LA KUPIGWA MWANAFUNZI NA WALIMU MBEYA DAY.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Pichani ni mwalimu aliyechukizwa na kitendo cha walimu wanne waliomshambulia Mwanafunzi kama wamekutana na Scorpion, pia alisikika akisema “mwalimu muacheni mtamuumiza” naamini ameokoa wanafunzi wengi wanaopigwa kama nyoka mashuleni bila sisi wananchi na serikali kutojua.

0 comments:

Post a Comment