Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Maalim Seif na Lipumba Kukutanishwa Kumaliza Mgogoro wao.Fahamu zaidi hapa.
Wajumbe
wa bodi chama cha wananchi CUF, wanaandaa utaratibu wa kuwakutanisha
katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif na mwenyekiti wake, Prof.Ibrahim
Lipumba ili kuwapatanisha kutokana na mgogoro ulioibuka na ambao
unaendelea kukigawa chama hicho.
Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wajumbe hao wa
CUF wanne kati ya watano kutoka Tanzania bara wamesema wanahuzunishwa
na mgogoro ndani ya chama hicho.
Mjumbe wa bodi CUF,Peter Malebo ameeleza kuwa watawaita viongozi hao
makao makuu ili waweze kupata suluhu na kumaliza mgogoo huo unao
endelea.
“Ndio maana wenzetu wamekaaa Zanzibar kwa kurubuniwa wale wajumbe wa
bodi,na sisi tumekaa hapa ilA sasa viongozi wetu wakuu tumuombe Maalif
Seif pamoja na Profesa Lipumba,tutawaita waje hapa makao makuu na
wajumbe wote wabodi tukae nao tumalize mgogoro wetu,” aliomba Malebo.
Hivi karibuni, baraza la uongozi la chama cha Wananchi (CUF),
lilitangaza kumfukuza uanachama Lipumba. Alifukuzwa kwa kile
kilichoelezwa kuwa amekwenda kinyume na katiba ya chama na kufanya uasi
kwa wanachama.
Related Posts:
Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Aprili 25, 2017.
Tazama
hapa moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma kipindi cha Maswali na Majibu
katika Bunge la 11, Mkutano wa Saba leo Aprili 25, 2017.
Bofya hapo chini Kutazama.
Download Application ya Hebron Ma… Read More
Polepole Aitaka CCM Imchukulie Hatua za Kinidhamu Nape Nnauye.Fahamu zaidi hapa.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole
amelaani vikali kauli iliyotolewa na mtangulizi wake ambaye ni mbunge wa
jimbo la Mtama, Nape Nnauye kuwa alisaidia kukitoa chama hicho shimoni… Read More
RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme.Fahamu zaidi hapa.
Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amekaribishwa kuwa
anaweza kuendesha huduma ya usafiri wa treni na kutaka wadau wengine
wenye nia kama hiyo wajitokeze.
Katika
ibada iliyofanyika juzi, Askofu Gw… Read More
Meli ya kivita ya Marekani yenye kuendeshwa kwa nguvu za nyuklia imewasili katika bandari ya Busan, Korea Kusini.Fahamu zaidi hapa.
Meli ya kivita ya Marekani yenye kuendeshwa kwa nguvu za nyuklia imewasili katika bandari ya Busan, Korea Kusini.Nyambizi
hiyo, USS Michigan ni moja kati ya nyambizi mbili zinazobeba makombora
yanayoendeshwa kwa nguvu z… Read More
Sakata la Bosi wa UN kufukuzwa latua bungeni Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga(Chadema) akizungumza bungeni leo.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge wa Mbozi, Pascal Haonga(Chadema) akizungumza bungeni leo,
aliitaka serikali kufafanua sababu za kumfukuza nchini Mkurugenzi Mkazi
huyo wa UNDP Tanzania kwa kumpa saa 24.
Download Application ya Hebr… Read More
0 comments:
Post a Comment