Friday 7 October 2016

#YALIYOJIRI>>>>Moto wateketeza Duka huko UKONGA sababu inasemekana ni mafuta ya petrol.Fahamu zaidi hapa.

 Ni ajali ya moto mkali ambao umetokea maeneo ya MONGOLA NDEGE ccm UKONGA, hajali hiyo imetokana na muuza duka ambaye alikuwa akiuza petrol na mafuta ya taa hiyo jana majila ya saa 10:30 jioni. Akiwa ana hudumia wateje huku akiwa anapika chakula kwa kutumia jiko la mchina. Huku akiwa ana hudumia mala gafla jiko lika lipuka na kukimbila petroli.
VIDEO:Hivi ndivyo Moto mkali ulio tokea mongola ndege!..

0 comments:

Post a Comment