Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Sijamuimba Siwema wa Nay wa Mitego – Dogo Janja.Fahamu zaidi hapa.

Msanii Dogo Janja ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ‘Kidebe’
na kuwa gumzo mtaani kutokana na kuwasifia baadhi ya wasanii huku
wengine akiwaponda, ambapo ndani yake amemtaja mtu anayeitwa ‘Siwema’.
Dogo janja ametoa ngoma hiyo wakati wimbo wake wa ‘My Life’ ukiwa badi
ni miongoni mwa ngoma ambazo mashabiki wengi wanazikubali huku wengi wao
awali wakidhani kuwa asingeweza kufanya wimbo mwingine zaidi ya huo,
eNewz ilitaka kufahamu kuhusiana na chanzo cha Dogo janja kumsema Siwema
ambaye anajulikana alikuwa ni mpenzi wa rapa Nay Wa Mitego na
kubahatika kuzaa naye mototo mmoja kwa kusema “Siyo kiburi siyo mchafu
kama Siwema” katika ngoma hiyo.
Dogo Janja aliamua kujitetea kuwa Siwema aliyemtaja katika ngoma hiyo
siyo Siwema wa Nay wa Mitego bali ni msichana mwingine kutoka Arusha
mtaa wa Ngarenaro.
Pia alifafanua zaidi kuwa wapo wengi wanaoitwa Dogo Janja lakini sio Dogo janja yeye.
“Mimi sijamzungumzia Siwema wa Nay wa Mitego, Siwema pale mtaani kwetu
Ngarenaro kuna mwanamke anaitwa Siwema anatabia za kimiyeyusho yaani
siyo mchoyo watu wengi wanapaa sana” Alisema Dogo Janja kufafanua mstari
wake.
eatv.tv
Related Posts:
Diamond Ashinda Tuzo ya Best Male MVP Nigeria.
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz ameshinda tuzo kutoka Kituo cha Runinga cha Soundcity.
Muimbaji huyo ameshinda katika kipengele cha Best Male MVP ambapo
alikuwa akichuana na wasanii wengine kama Davido, RunTown, … Read More
Joh Makini Afunguka Uhusiano Wake wa Kimapenzi na Mimi Mars.
Mwamba wa Kaskazini anayesumbua masikio ya wapenda burudani na ngoma ya
'Mipaka' Joh Makini amepangua tetesi za kujihusisha kimapenzi na
mwanamuziki Mimi Mars ambaye pia ni mdogo wake msanii Vanesa Mdee.
Joh Makini amep… Read More
Sakata la Picha za Utupu Basata Aitawaacha Mastaa Hawa Salama.
Muda mfupi baada ya Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo,
Juliana Daniel Shonza kumfungia msanii wa filamu na muziki wa Bongo
Fleva, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ kutojihusisha na masuala ya sanaa
ikiwemo ku… Read More
Wakili Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu.
Wakili
Peter Kibatala ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,
akiomba kujitoa kumuwakilisha msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu
katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili.
Hatua
hiyo imekuja leo Jumatan… Read More
Watu Washtushwa na Muonekano Mpya wa Wowowo la Ruby.
Jana msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Ruby kupitia ukurasa wake wa
Instagram aliposti picha ikimuonesha mwenye umbo kubwa tofauti na
muonekano wake wa siku zote.
Picha hiyo ambayo ni ya kwanza kwa mwaka 2018 kwa msanii h… Read More
0 comments:
Post a Comment