Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Queen Tipha afunguka baada ya mpenzi wake, Ben Pol kuonekana kwenye picha akibusiana na Snura.Fahamu zaidi hapa.
Latifa Mohamed aka Queen Tipha amefunguka baada ya kusambaa mitandaoni
picha za mzazi mwenzake, Ben Pol akionekana wakibusiana na Snura wakati
walipokuwa mkoani Tabora kwa ajili ya tamasha la Fiesta.
Queen Tipha amekiambia kipindi cha Clouds E cha Clouds TV kuwa
hakushtuka baada ya kuona picha hizo kwa kuwa mpenzi wake huyo alikuwa
kazini.
“Nimeamka asubuhi nikaona watu wengi wamenitag, nilichukulia kawaida kwa
sababu ni mtu ambaye ninamuamini na aliniaga kuwa anaenda kazini,”
amesema Queen Tipha.
“Sikuona kama ni kitu cha ajabu kwa kuwa yule ni msanii mwenzake na
rafiki yake pia. Nimechukulia kawaida tofauti na watu wanavyofikiria,”
ameongeza. Queen Tipha aliwahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania
2013 na wamefanikiwa kuzaa mtoto mmoja na mpenzi wake Ben Pol.
Related Posts:
TAZAMA Hapa Video Ali Kiba Akimungunya Kingereza Katika Interview Huku Afrika Kusini..Wadau Wadai Angeoa Kiswahili.Fahamu zaidi hapa.
TAZAMA Hapa Video Ali Kiba Akimungunya Kingereza Katika Interview Huku
Afrika Kusini, Video Siku ya leo imekuwa Gumzo huko mitandaoni hasa
Instagram, baadhi ya watu wanadai angeongea kiswahili tu..
Tazama:
… Read More
Kisa Cha Mama Mkwe wa Mwendokasi Alivyookoa Ndoa Isivunjike.Fahamu zaidi hapa.
Tafadhali WANAUME wenzangu naomba usome kisa hiki kwa makini sana. Usipuuze.
“Mpaka sasa hivi bado anaendelea kukupiga?” Mama John alimuuliza mkwe
wake.” Ndiyo mama tena amezidi, yaani kila siku nimekuwa kama ngoma,
nime… Read More
#BURUDANI>>>>MPENZI Mpya wa Wema Sepetu Afunguka, Adai Hamjui Idris Sultan.Fahamu zaidi hapa.
Model anayedaiwa kutoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu,
Calisah amefunguka na kuzungumzia tetesi hizo ambazo zimekuwa zikisambaa
katika mitandao ya kijamii.
Kijana huyo ambaye tayari ameshaonekana mara kadhaa… Read More
Mastaa wa Kike Kutoka Familia za Mboga Saba Bongo.Fahamu zaidi hapa.
NAIJUA familia ya mboga saba? Wengine wanapenda kuwaita watoto wa kishua
ama familia bora. Hii ikiwawakilisha watoto wanaozaliwa kwenye familia
yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi, kiasi cha kutumia mlo mmoja ukiwa na
mboga t… Read More
Amber Lulu Afunguka Kukamatwa na Madawa ya Kulevya, Bifu na Gigy Money na Uhusiano wake na Young Dee.Fahamu zaidi hapa.
Msikilize hapa akihojiwa na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove
ambapo amezungumzia kwa mkato tetesi za kukamatwa na madawa ya kulevya,
bifu na Gigy Money, uhusiano wake na Young Dee na fedha anazolipwa
kufanya video… Read More
0 comments:
Post a Comment