Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Wema Sepetu Awashukuru Waliomtumia Salamu za Birthday.Fahamu zaidi hapa.

Jumatano hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa filamu Wema Sepetu
ambao ndugu, jamaa pamoja na marafiki walimtakia heri na mafanikio
mrembo huyo.
Moja kati ya vitu ambavyo vilileta gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni
baada ya mama Diamond kum-wish malkia huyo wa filamu huku akimkaushia
Zari ambaye ni mama watoto wa Diamond.
Pia dada zake na Diamond walim-wish maklia huyo.
Baada ya kupokea salamu za watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya
dunia malkia huyo wa filamu na yeye aliamua kuwashurudu huku akionyesha
kile ambacho hakukitarajia.
Wema kupitia istagram aliandika:
Wow… wow… wow… daah.. sijui cha kuandika.. am just out of words… Wema
mimi nitamlipa nini Mungu kwa Neema na Baraka zake anazonijalia kila
siku…?? Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa mumumu wangu, My
family, my management, teamkazi wale kwa kufungua dimba last Night with
that amazing suprise… alafu sasa huku insta, snapchat, twitter and kila
site ambazo mmepost about My birthday nashindwa cha kusema.. toka
nimeamka najitahidi kujibu kila post ninazoziona.. ila zinanielemea… ila
ninajitahidi, nitajitahidi na nitahakikisha najibu Kila ambayo nakutana
nayo… ila Daaah You Guys mnajua kupenda.. mpaka najiogopa kwa mapenzi
mnayonipa.. what should i say?? Wakwe vepe?? Mawifi je?? Wake wenza nao
ndani? Boyfriends🙈🙈 nacheka peke yangu….. And sometyms hadi machozi ya
furaha yananitoka… Nimekuwa Cry baby wa kujitegemea tokea saa sita
usiku…. Na nadhani zoezi litaendelea mpaka siku hii iishe…. Nawapenda
jamani… #AmaBeBack
Related Posts:
Uwoya Ampa Tano JK kwa Kupenda Wanawake…!!!.Fahamu zaidi hapa.
Muigizaji Irene Uwoya amemshukuru Rais mstaafu Jakaya Kikwete kwa
kuwathamini na kuwaamini wanawake kwa kuwapa nafasi za juu katika
kuongoza taifa la Tanzania.
Uwoya kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuw… Read More
Diva Love Afunguka 'Ningekuwa Mwanaume Ningetoka na Jokate Kimapenzi'.Fahamu zaidi hapa.
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM Diva amesema kama
angekuwa ni Mwanaume angem’date Jokate kwani anavutiwa sana na muonekano
wake wa baby face,pia amekiri kuwa alishawahi kumchangia Charity yake.
Mbali … Read More
Diamond Afanya Kufuru Nyingine,Baada ya Marry Me ya Neyo,Mzigo Huu Ndio Unaofuata..!!!!.Fahamu zaidi hapa.
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’,
amesema wakati wowote kuanzia sasa ataachia albamu yake mpya
inayokwenda kwa jina la ‘Nothing But Bongo Fleva’.
Diamond ambaye kwa sasa anatamba… Read More
Flora Mbasha Adaiwa Kupigwa Mimba.Fahamu zaidi hapa.
WAKATI vikao vya harusi yake vikiwa vinaendelea kusubiri kufunga ndoa
Aprili mwaka huu, nyota mkubwa wa nyimbo za Injili, Madame Flora, ambaye
ni maarufu zaidi kama Flora Mbasha, anadaiwa kupata ujauzito, Risasi
Mchangan… Read More
VIDEO: Makonda akwamisha mipango ya Manfongo.Fahamu zaidi hapa.
Msanii wa singeli, Manfongo amesema yeye kushindwa kuachia wimbo wake
aliomshirikisha Mr Blue ni kwa sababu ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda
kumtaja Blue katika orodha ya watu wanaojihusisha na matumizi ya dawa
z… Read More
0 comments:
Post a Comment