Wakazi
wa eneo la Al-Furat nchini Iraq, wamepigwa marufuku kuvaa jezi za timu
mbalimbali za Premier League ya England, Serie A ya Italia, Bundesliga
ya Ujerumani na La Liga ya Hispania.
Kundi
la Kigaidi la ISIS limetoa tangazo kwamba aria hawaruhusiwi kujihusisha
au kuvaa jezi za timu hizo au zile zenye nembo ya Adidas na Nike.
0 comments:
Post a Comment