Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>WEMA Sepetu Akunwa na Wimbo wa Diamond 'Salome' Ajirekodi Akiimba, Diamond Asema Haya.Fahamu zaidi hapa.
Malkia wa filamu Wema Sepetu amekunwa na wimbo mpya wa Diamond Platnumz
‘Salome’ na kuamua kujirekodi video huku akiimba wimbo huo.
Diamond alipost video instagram inayomwonyesha mwigizaji huyo akiimba
wimbo ‘Salome’ huku akiandika ujumbe wa kuonyesha kufurahishwa na
kitendo hicho.
“Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini?. Tisha sana ‘Salome’ wake Idris
Sultan full Video link in my BIO and @rayvanny Bio,” aliandika Diamond
kupitia instagram.
Hatua hiyo huwenda ikafungua njia zaidi kwa wawili hao kuaidia katika mambo yao.
Related Posts:
Rasmi:40 ya Mdogo Wake Tiffah Yaota Mbawa,Chanzo cha Yote Hayo Ni hiki Hapa..!!!..Fahamu zaidi hapa.
Desemba 6, mwaka jana Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’
alipata mtoto wa pili kupitia kwa mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’
na kumpa jina la Nillan Nasibu ‘Chibu Junior’, akiwa ametanguliwa na
dada yake, Latifah ‘… Read More
Mh,!! Shilole na Nuh Mziwanda Wamerudina au Hawajarudiana?Nuh Mziwanda Amefunguka Haya Juu ya Swali Hilo...Fahamu zaidi hapa.
MSANII wa Bongo Fleva anayetamba na Wimbo wa Jike Shupa, Naftari
Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amesema kuwa japo kuna tetesi zinaenea mtaani
kwamba amerudiana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed
‘Shilole’ suala hilo h… Read More
Mpenzi wa Ray Kigosi, Chuchu Hans ajifungua mtoto wa kiume.Fahamu zaidi hapa.
Mpenzi wa msanii mkongwe wa filamu Ray Kigosi, Chuchu Hans amejifungua mtoto wa kiume wiki hii, Ray amethibitisha.
Muigizaji huyo ameonyesha furaha yake kwa kuwa huyo ni mtoto wake wa kwanza.
“Asante
mungu kw… Read More
Chris Brown Apata Mpenzi Mpya Baada ya Kutemwa na Karrueche Tran.
Toka ameachwa na Karrueche Tran mwaka 2015 Baada ya Chriss Brown Kukiri
kuwa amezaa na mwanamke mwigine Hakuwahi kuonekana na mwanamke mwingine
wakiwa katika mahusiano Serious ila sasa ni kama amepata mrembo mwingi… Read More
Kajala Masanja akanusha binti yake kuharibikiwa kimaadili, ni baada ya video ya Ngono kusambaa mtandaoni.Fahamu zaidi hapa.
Katika
mitandao mbalimbali ya kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu
binti mdogo wa chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya
Gari.
Awali
ilisemekana kuwa katika video hiyo binti aliyeonekana … Read More
0 comments:
Post a Comment