Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili.
Saturday, 24 September 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Shilole Asema Chupu Chup Awe Salome Kwenye Video ya Diamond...Adai Ingepata Views Mil 2 Ndani ya Siku Mbili.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>>Shilole Asema Chupu Chup Awe Salome Kwenye Video ya Diamond...Adai Ingepata Views Mil 2 Ndani ya Siku Mbili.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#BURUDANI>>>>>Baada ya Diamond kumpost Wema Sepetu Instagram, Wema afunguka juu ya hilo.Fahamu zaidi hapa. Jana Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz alipost picha ya Wema Sepetu katika ukurasa wake wa Instagram akiwataka watu wajitokeze kumsupport katika tamasha. Pamoja na Wema Sepetu, Diamond alimpost pia Idris Sultan na Ch… Read More
Baada ya kusemekana Jackline Wolper amebakwa, ayaandika haya Instagram.Fahamu zaidi hapa. Diva wa filamu za Bongo nchini Tanzania baada ya kuandikwa kwenye gazeti la Sani kuwa amebakwa aliyaandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram. @wolperstylish – I am so sad kwakweli Hii sio kuniabisha mimi tu, ni kua… Read More
DIAMOND NDANI YA NDEGE KUELEKEA MBEYA.Fahamu zaidi hapa. Le Mutuz Nation akiwa na Diamond Platnumz leo wakielekea Mbeya en route to Kyela ambapo kesho Diamond atafanya Show Kali kwenye ufunguzi rasmi wa Hoteli hiyo mpya ya Kitalii huko Kyela. Wasanii 20 wanaofua… Read More
PICHA:7:SHOW ALIYO FANYA DIAMOND JANA MBEYA NA KUWEKA HISTORIA. … Read More
Huyu ndiye mpenzi wa Lulu, awekwa hadhari leo.Fahamu zaidi hapa. Baada ya kuka muda bila kumuweka maisha yake ya mahusiano hadhari hatimaye leo muigizaji wa bongo amepost picha yake akiwa na boyfriend wake. Elizabeth Michael maarufu Lulu, empost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment