Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Chris Brown jukwaa moja na Alikiba Mombasa Kenya.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination
za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa.
Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa
lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown.
Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye
mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la
Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
Related Posts:
#BURUDANI>>>>MPENZI Mpya wa Wema Sepetu Afunguka, Adai Hamjui Idris Sultan.Fahamu zaidi hapa.
Model anayedaiwa kutoka kimapenzi na malkia wa filamu Wema Sepetu,
Calisah amefunguka na kuzungumzia tetesi hizo ambazo zimekuwa zikisambaa
katika mitandao ya kijamii.
Kijana huyo ambaye tayari ameshaonekana mara kadhaa… Read More
#BURUDANI>>>Tanzania yatoka kapa,tuzo za MTVMAMA2016 hii ni orodha nzima ya washindi.Fahamu zaidi hapa.
Tanzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku
wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba,
Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa
kuwani… Read More
Kisa Cha Mama Mkwe wa Mwendokasi Alivyookoa Ndoa Isivunjike.Fahamu zaidi hapa.
Tafadhali WANAUME wenzangu naomba usome kisa hiki kwa makini sana. Usipuuze.
“Mpaka sasa hivi bado anaendelea kukupiga?” Mama John alimuuliza mkwe
wake.” Ndiyo mama tena amezidi, yaani kila siku nimekuwa kama ngoma,
nime… Read More
Mastaa wa Kike Kutoka Familia za Mboga Saba Bongo.Fahamu zaidi hapa.
NAIJUA familia ya mboga saba? Wengine wanapenda kuwaita watoto wa kishua
ama familia bora. Hii ikiwawakilisha watoto wanaozaliwa kwenye familia
yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi, kiasi cha kutumia mlo mmoja ukiwa na
mboga t… Read More
TAZAMA Hapa Video Ali Kiba Akimungunya Kingereza Katika Interview Huku Afrika Kusini..Wadau Wadai Angeoa Kiswahili.Fahamu zaidi hapa.
TAZAMA Hapa Video Ali Kiba Akimungunya Kingereza Katika Interview Huku
Afrika Kusini, Video Siku ya leo imekuwa Gumzo huko mitandaoni hasa
Instagram, baadhi ya watu wanadai angeongea kiswahili tu..
Tazama:
… Read More
0 comments:
Post a Comment