Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>ZARI Amuumbua Hamisa Mobetto, Aanika Live Uchafu Wake na Diamond.Fahamu zaidi hapa.
Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja
model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita
huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye
pia ni mpenzi wake wa sasa, Zari Hassan ambapo kupitia page yake ya
snapchat amepost picha za hereni huku zikiwa zimeambata na ujumbe mzito,
ambapo alimtaka mwenye hereni hizo cheap alizozisahau chumbani kwake
akazichukue mara moja.
Hata hivo kwa mujibu wa wapenda umbea mjini aka team chambua kama
karanga waliweza kuzichambua hereni hizo vizuri na kubaini kuwa
zilishawahi kuvaliwa na mwanamitindo maarufu nchini Hamisa
Mobetto(pichani) aka SALOME.
Huenda hii ikawa habari Kali kwa wiki hii, hata hivyo bado Zari
hajafunguka chochote kuhusu mmliki wa hereni hizo, wala Hamisa bado
hajazungumzia chochote kama ni kweli uchafu huo (kama alivyoita Zari) ni
wake au sio
<<<<DOWNLOAD APPLICTION KWENYE SIMU YAKO HAPA>>>
Related Posts:
Dongo Janja: Irene Uwoya Ana Mvuto, Anafaa Kuwa Mpnzi wangu.
Msanii
wa muziki wa bongo fleva, Dogo Janja kwa mara ya kwanza amefunguka
kuhusu mahusiano yake, na kutoa sintofahamu kuhusu kutoka kimapenzi na
muigizaji wa filamu za kibongo Irene Uwoya.
Akizungumza
na East Africa… Read More
VIDEO: Barakah Da Prince Akataa Urafiki na Alikiba.
Baada ya kuachana na record label ya RockStar4000, na kuaanzisha label
yake ‘Bana Music’, msanii wa Bongo Flava Barakah The Prince amefunguka
mahusiano yake kwasasa na Alikiba ambapo amesema hajawahi kuwa na
urafiki wa a… Read More
Wakwe Wavunja Ndoa ya Mziwanda...Wamuozesha Nawal Kwa Mwanaume Mwingine Mwenye Pesa Bila Nuh Kutoa Talaka.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni
kumeibuka minong'ono kuwa ndoa yake imesambaratika, amefunguka kuhusu
hilo na kukiri kuwa kweli ndoa hiyo imekufa bila talaka, huku mke wake
akiwa mbioni… Read More
Jack Wolper Achukizwa na Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya Mchezaji Ndikumana...Amtolea Mapovu Haya.
Jack Wolper si wa nchi hii Achukizwa na Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya Mchezaji Ndikumana...Amtolea Mapovu Haya.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>… Read More
Video: Ebitoke athibitisha kufunga ndoa na Ben Pol.
Baada ya msanii Shilole kutangaza kufunga ndoa wakati wowote, naye
mchekeshaji kutoka Timamu, Ebitoke amedai kuwa anatarajia kufunga ndoa
na mkali wa RnB Bongo, Ben Pol wakati wowote.
Akiongea na Bongo5 Ebitoke ameeleza… Read More
0 comments:
Post a Comment