Home »
Makala
» Faida za Kufanya Mapenzi Mara Nyingi Hizi Hapa.Fahamu zaidi hapa.
Watafiti wa Kizungu wanakesha kufanya tafiti chungu mzima na zingine majibu yake zinaweza kukuacha mdomo wazi.
Kwa mfano huu – jamaa eti wamebaini kuwa kushiriki tendo la ndoa mara
nyingi kunaongeza imani ya kiroho na hata imani kwa Mungu! Makubwa..
Kwa mujibu wa utafiti, tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo iitwayo
oxytocin ambayo haiishi tu kutengeneza ukaribu wa kijamii bali pia imani
ya Mungu – hususan kwa wanaume.
Watafiti katika chuo kikuu cha Duke cha North Carolina, wanasema kuwa
tendo hilo huhamasisha imani – ama kuongeza imani katika Mungu na dini.
Utafiti huo umeliochapishwa mwishoni mwa wiki unaangalia homoni ya
oxytocin ambayo huamshwa zaidi wakati wa kufanya mapenzi, wakati wa
kuzaa na wakati wa kunyonyesha.
Related Posts:
Mpenzi Halindwi na Alarm wala Hawekewi Tracker, Analindwa na Mahaba na Care Unazompa.Fahamu zaidi hapa.
Mpenzi halindwi na Alarm wala hawekewi Tracker,analindwa na Mahaba na Care unazompa.
Ukimpa Mahaba Niue Nife Nayo basi atakuwa wako daima dumu,atajilinda
mwenyewe na hataenda nje maana hakuna kipya kule ambacho kwako hapa… Read More
Ulimi Kisimini-Siri Ya Mwanamke Kufika Kileleni.Fahamu zaidi hapa.
Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa tendo) kati ya
dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu
sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa
“ovyo… Read More
Kwa Faida Yako:Kutafuna Bigijii kwa Muda Mrefu Kunaweza Kukusababishia Vidonda vya Tumbo..!!!..Fahamu zaidi hapa.
Kuna athari kubwa sana zinazotokana na utafunaji wa bigijii (chewing gums) kwa muda mrefu
Utafunaji huo husababisha tumbo kuzalisha acid ya kutosha likifikiri
kuna chakula ambacho kinatafunwa tayari kumezwa. Kitendo ch… Read More
Kwa wanaume Tu..Jua Mbinu 10 za Kufanya ili Kumfikisha Mpenzi Wako Kileleni Haraka na Akaridhika,Huitaji Madawa Tena Ukizijua Mbinu Hizi..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa Udaku Special, kumekuwa na
maombi toka kwa watu mbalimbali hasa wanaume wakihoji juu ya kuweza
kumfikisha mwanamke kielelni.
kama huwezi kumfikisha mwanamke ki… Read More
Mbinu Mpya za Wanawake wa Siku Hizi Wanaosaka Ndoa Kwa Nguvu..Ni Noma Sana.Fahamu zaidi hapa.
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni… Read More
0 comments:
Post a Comment