Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>>Manchester United yatoa kichapo Old Trafford.Fahamu zaidi hapa.
Manchester United ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani Old Trafford yawafulaisha mashabiki wake baada ya kutoa kipigo cha 4 kwa 1
Goli la kwanza limefungwa na Chris Smalling Dakika ya 22,Goli la pili limefungwa na Juan Mata Dakika ya 37,Goli la tatu limefungwa na Marcus Rashford Dakika ya 40, na Goli la nne limefungwa na Paul Pogba Dakika ya 42.Huku goli la kufutia machozi la Leicester City likifungwa na Demarai Gray Dakika ya 60.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>MABADILIKO MENGINE LIGI KUU BARA, SIMBA, YANGA VIWANJANI WIKIENDI HII.FAHAMU ZAIDI HAPA.Ligi
Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2016/2017 inatarajiwa kuendelea Jumamosi
na Jumapili hii lakini kuna mabadiliko ya mchezo mmoja uliotakiwa
kuchezwa Jumapili sasa utachezwa Jumanne. Mabadiliko hayo ni mwendelezo
wa Shir… Read More
#MICHEZO>>>BAADA YA XAVI, ETO'O NAYE AMTUPIA DONGO CR7, AMZODOA KUHUSU TUZO ZAKE ZA BALLON D'OR.FAHAMU ZAIDI HAPA.Mshambuliaji
wa zamani wa Barcelona, Samuel Eto'o ambaye kwa sasa ni kocha mchezaji
wa timu ya Antalyaspor ya Uturuki amemzungumzia mchezaji mwenzake wa
zamani wa Xavi Hernandez katika njia ambayo inaonyesha ni dongo kwa s… Read More
#MICHEZO>>>CHRIS SMALLING ANGA’NG’ANIWA VIPIMO VYA MADAWA UHOLANZI, POLISI WAINGILIA KATI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Beki
wa Manchester United, Chris Smalling, usiku wa jana alilazimika kupata
msaada wa polisi wakati akielekea uwanja wa ndege baada ya mchezo wa
timu yake dhidi ya Feyenoord katika Europa League nchini Uholanzi.
S… Read More
#MICHEZO>>>Wapiganaji wapya wa "WWE" waja kwa kishindo.Fahamu zaidi hapa.
Ni kizazi kipya kwa upande wa mchezo wa
mieleka kwa sasa kwa kuwa tayari damu changa tunaona zinachukua nafasi
kubwa ya kuwashinda wahusika wakuu ambao wamezoeleka katika tasnia hii
ya mieleka.
Mbabe ambaye… Read More
#MICHEZO>>>>MAJOGOO WA LIVERPOOL WALIVUNJA DARAJA LA STAMFORD, CHELSEA HOI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Utamu
wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ umeendelea kuwa mtamu, hiyo ni
baada ya kushuhudia wenyeji wa Daraja la Stamford wakiangukia pua kwa
wageni wao ambao ni maarufu kwa jina la Majogoo.Mabao mawili
yaliy… Read More
0 comments:
Post a Comment