Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Davido Achekelea Nyimbo yake Kutumika Katika Movie Huko Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya
kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko
Hollywood Marekani iitwayo Qween of Katwe
Katika movie hii pia yupo mkenya aliyeweka historia ya kushinda tuzo ya
oscar mwanadada Lupita Nyongo aliyecheza kama mhusika mkuu akishirikiana
na David Oyellowo
Related Posts:
Tausi Awapa Makavu Wanaomsema Vibaya Kuhusu Mavazi Yake.
Msanii wa filamu nchini Tanzania na Rais wa watoto, Tausi Mdegela amefunguka na 'kuwachamba' watu wanaomsema vibaya kuhusiana na mavazi yake anayovaa na kudai kama inawakera basi wakanunue nguo wampelekee na sio kumpangia c… Read More
Huu Hapa Ujumbe wa Zari Baada ya Picha za Hamisa Mobetto na Videographer wa Diamond Kusambaa.
Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa pic… Read More
Huyu Hapa Ndio Mpenzi wa Mwanamuziki FID Q, Watazame Wakieleza Walivyokutana..Hakika ni Kama Movies.
Unaambiwa kitabu ndio chanzo cha yote haya Fid Q na mpenzi wake wa sasa walikutana kwenye mazingira ambayo ni kama movie..Tazama Hapa Chini wakielezea Mkanda Mzima:
Download Application ya Hebron Malele Blog Kweny… Read More
Daimond, Hamisa Mobetto Warudi Tena Mahakamani Kuweka Kumbukumbu za Kumtunza Mtoto Wao.
February 13, 2018 stori inayoshika headlines ni ya Kimahakama ambapo Nyota wa muziki wa Bongo fleva na President wa WCB, Diamond Platnumz na Mwanamitindo Hamisa Mobetto wamerudi tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu k… Read More
Mwana Aipongeza Serikali "Nguo za Heshima Ndio Kila Kitu".
MWANA-DASHOSTI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ amefunguka kuwa kitendo cha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kupiga marufuku mastaa wa kike kujiachia nusu utupu, ndiyo kila kitu ka… Read More
0 comments:
Post a Comment