Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Ndege BInafsi ya Cristiano Ronaldo Yaanguka, Hakuwemo Ndani.Fahamu zaidi hapa.
Ndege binafsi ya mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ilianguka
wakati ikitua kwenye uwanja wa ndege wa El Prat jijini Barcelona,
Jumatatu. Hakuna majeruhi walioripotiwa.
Kwa mujibu wa ESPN, Ronaldo, aliyekuwa Dortmund kipindi hicho wakati
Real Madrid ilikuwa ikijiandaa kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa
waliotoka sare ya 2-2 katika hatua ya makundi dhidi ya Borussia
Dortmund, hakuwa ndani ya ndege hiyo wakati inaanguka.
Mshambuliaji huyo huikodisha ndege hiyo, Gulfstream G200, aliyoinunua kwa €19m kufanya kazi zingine wakati asipokuwa akiitumia.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya Hispania, matairi ya
magari hayo yalivunjika wakati ikitua na hivyo kutoka nje ya njia.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>Video#INTERVIEW YA KWANZA YA MOURINHO AKIWA KOCHA WA MANCHESTER UNITED.
Jose Mourinho amewaasa mashabiki wa Manchester United kusahau yote
yaliyotokea miaka mitatu iliyopita wakati timu hiyo ilipokuwa chini ya
David Moyes na Louis van Gaal na kuangalia namna ya kuirudisha upya
katika zama za… Read More
#MICHEZO>>>>WAPINZANI WA YANGA CAF WAANZA KUTOA SABABU.Fahamu zaidi hapa.
TIMU ya soka ya Medeama ya Ghana,
imesema itakuwa shughuli pevu kukutana Yanga SC ya Tanzania katika hatua
ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kwa sababu sasa inafundishwa
na kocha wao wa zamani, Mholanzi Hans van d… Read More
#MICHEZO>>>>UWEPO GUARDIOLA, KLOPP, WENGER, MOURINHO, CONTE, NI KUREJEA KWA UBORA WA EPL ULAYA?.Fahamu zaidi hapa.
Na Mahmoud Rajab
Hatimaye Jose Mourinho anarudi tena kundini na kukutana na mahasimu
wake wakubwa katika soka ambao ni Pep Guardiola, Wenger na Klopp (ambaye
vilevile ana historia na Pep Guardiola pia) bila kusahau Conte… Read More
#MICHEZO>>>FARID MUSSA APATA RUHUSA YA BOSS WA AZAM KWENDA HISPANIA.Fahamu zaidi hapa.
Maendeleo ya soka katika nchi zinazoendelea hususani nchi za Ukanda wa
Afrika Mashariki linahitaji watu wenye kujua thamani ya vipaji na namna
ya kuviendeleza tofauti na watu wenye kutaka faida kubwa kabla y… Read More
#MICHEZO>>> WAMBURA AULA KWA CAF.Fahamu zaidi hapa.
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limemteua
Michael Richard Wambura kuwa Kamishina wa mchezo wa kuwania kufuzu
fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Rwanda na Msumbiji
unaotarajiwa kufanyika jijini Ki… Read More
0 comments:
Post a Comment