Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Wanakijiji Mvumi -Chamwino Wachoma Moto Gari na Kuuwa Maafisa wa Taasisi ya Kilimo.Fahamu zaidi hapa.
Wakuu kuna habari zinasambaa mitandaoni kuwa kuna Maafisa wa Taasisi ya
Kilimo ya Seliani iliyopo Mkoani Arusha wameuawa na wanakijiji wa Mvumi.
Kukatokea kutokuelewana kati ya maafisa hao na wanakijiji,kiasi cha maafisa hao kuchomwa moto wao na gari lao. Picha zinatisha.
Wanakijiji wa Mvumi Wilaya ya Chamwino ndio wamechoma gari ya serikali na kuchoma maafisa wa serikali wakiwa ktk majukumu yao.
Watu 35 tayari mbaroni wakiwemo viongozi wa kijiji.
Waziri wa mambo ya ndani aliposema ugaidi haijaingia tanzania, hii maana yake nini? Ama magaidi wanatoka maeneo gani hasa?
Gaidi huzaliwa ndani ya nchi husika. Sasa tukio hili ni ugaidi tosha.
Usisubiri alshabab ama bokoharamu, matukio kama haya ni ugaidi tosha.
Note picha za waliochomwa zinatisha sana
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Tamko La Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto Kuhusu Watoto Waliomaliza Elimu Ya Msingi Lililotolewa Tarehe 09/09/2016.Fahamu zaidi hapa.
TAMKO
LA MHESHIMIWA UMMY MWALIMU (MB) WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII,
JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU WATOTO WALIOMALIZA ELIMU YA MSINGI
LILILOTOLEWA TAREHE 09/09/2016
Ndugu
Wanahabari, Nitumie fursa hii kupitia … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Kuna Chakula Cha Kutosha Nchini- Waziri Tizeba.Fahamu zaidi hapa.
Na Beatrice Lyimo- MAELEZO.
Serikali
imetoa kauli kuhusu hali ya chakula nchini na kusema kuna chakula cha
kutosha pamoja na ziada ya asilimia 123. Ziada hiyo ya chakula inatokana
na uzalishaji wa msimu wa mazao mwaka … Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mama Rwakatare awatoa wafungwa 12 gereza la Keko.Fahamu zaidi hapa.
Mchungaji wa kanisa la Mikocheni B Assemblies of God, Askofu Dr Getrude
Rwakatare, amewatoa wafungwa 12 waliokuwa wamefungwa kwenye gereza la
Keko jijini Dar es Salaam huku lengo ni kuwatoa wafungwa 78 waliofungwa
kwa ku… Read More
#YALIYOJIRI>>>UKAWA Wapanga Kulifikisha Jeshi la Polisi Mahakama Kuu.Fahamu zaidi hapa.
Ukawa
wamedai wafuasi wake 38 wapo rumande za polisi kwa muda mrefu, huku
Chadema ikisema Jumanne ijayo itawasilisha ombi Mahakama Kuu kutaka Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini aitwe kueleza sababu za kushindwa kuwafikisha
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli ateua Makatibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa na Mara.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe
09 Septemba, 2016 amemteua Bw. Ado Steven Mapunda kuwa Katibu Tawala wa
Mkoa wa Mara.
Bw. Ado Steven Mapunda anachukua nafasi iliyoachwa wazi… Read More
0 comments:
Post a Comment