Friday, 30 June 2017

Meya wa Ubungo Dsm, Amefanya Uzinduzi Huu Jana.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, leo Ijumaa 30 Julai 2017, amezindua kituo cha kisasa cha kukusanya kodi, ushuru na tozo mbalimbali katika eneo la Simu 2000 pamoja na Kuhamsisha wafanyabiashara,bodaboda na Abiria wa Mabasi madogo . Hii itapunguza kero kwa  wananchi wanaoishi maeneo ya karibu na eneo la Simu 2000, kulipa kodi, ushuru na tozo...

Msanii Bobi Wine Ashinda Ubunge Nchini Uganda.

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama, Bobi Wine ameshinda ubunge katika uchaguzi mdogo nchini humo. Tokeo la picha la bobi wine Bobi Wine mwenye suti katikati akikabiliana na Askari Polisi mapema wiki hii Wine, ambaye aliwania kama mgombea huru, aliwashinda wagombea wenzake wanne katika jimbo la Kyadondo Mashariki mwa Uganda...

Bei ya Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa zashuka.

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji, (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta ya petroli ambayo imeshuka kwa asilimia moja ukilinganisha na bei iliyotangazwa Juni 7 mwaka huu. Kuanzia kesho, bei hizo zitashuka na kuuzwa kwa Sh37 kwa lita (sawa na asilimia 1.81 wakati dizeli itauzwa kwa Sh 14 kwa lita (0.73 asilimia). Mafuta ya taa yatauzwa kwa Sh 19 kwa lita (sawa na...

Nahisi Mke wangu Anawapenda Kimapenzi Wanawake Wenzake.

I think my wife likes women ------------------------------------ I would like to know if there are other men out there who think their wives are into women? I think mine is. I went through her Phone the other day and I couldn't believe the Whats app chat I read between her and someone I thought was just her friend. Another married woman for that matter. Their chat was...

Tazama Diamond alivyo Copy Na Ku-Paste Video ya Jason Darulo.

SOKO la nyimbo katika dunia ya sasa linakuzwa na video za muziki, ubora wa video umekuwa ukichangia kuufanya wimbo kuwa mkubwa hata kama ni wa kawaida. Kuna vitu vingi vinavyochangia video kuwa bora, baadhi ni ubora wa picha, ubora wa mandhari na ubora wa ubunifu wa kile kinachoonekana katika video husika. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu...

Thursday, 29 June 2017

Hili lingine la Rayvanny na BASATA Kuhusu Mapokezi na Tuzo ya BET.

Siku moja baada ya mwimbaji Rayvanny kuwasili Bongo na kukutana na mapokezi makubwa Airport DSM akiwa na tuzo yake ya BET akiwa msanii kwanza wa Bongofleva kutwaa tuzo hiyo…story gumzo ni kuhusu kutooneakana mwakilishi wa BASATA Airport. 255 ya XXL ya Clouds FM leo June 29, 2017 imempata Katibu Mkuu wa BASATA, Godfrey Mngereza ambaye ameelezea sababu za kutoonekana...

Bifu la Diamond na EATV & Radio..Je Litaweza Kumshusha Diamond Kimuziki?

Bifu la Diamond na Alikiba naliona linafifia kila siku iitwayo leo, huenda likaisha kimya kimya bila hata wao kuonekana wakiwa pamoja katika picha au kufanya wimbo lakini kwa upande wa Diamond namuona kwenye Bifu zito na Ipp Media Especially EATV & RADIO, Ila bifu la aina hii (Msanii na Media) huwa halizungumziwi sana kwasababu hiyo media yenyewe haitataka msanii...

Lowassa Awasili Polisi na Kuhojiwa.......Atakiwa Kurudi Tena July 13

Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema, Edward Lowassa  amewasili katika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo (Alhamisi) kama alivyoelekezwa siku ya Jumanne wiki hii baada ya kuhojiwa kwa saa nne. Lowassa amewasili saa 5:52 asubuhi akiwa ameambatana na viongozi wengine wa Chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe huku ulinzi...

IGP Simoni Sirro atembelea Kijiji alichouawa Mwenyekiti na Mtendaji Huko Kibiti.

Baada ya  mauaji ya Mwenyekiti wa Kitongoji na Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, IGP Simon Sirro ametembelea kijijini hapo kutoa pole kwa wafiwa. IGP Sirro amewataka wananchi kijijini hapo kutowafumbia macho wahalifu wanaotenda mauaji hayo akiwataka kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa...

Breaking News>>>Jamali Malinzi hatoweza kushiriki uchaguzi TFF.

Rais wa TFF, Jamal Malinzi hataweza kutetea kiti chake cha urais. Malinzi hataweza kwa kuwa kesi iliyomfikisha mahakamani leo itasikilizwa tena Jumatatu Julai 3 na Malinzi atakaa rumande hadi siku hiyo. Usaili wa viongozi wanaogombea uongozi TFF unafanyika kuanzia leo hadi keshokutwa wakati huo Malinzi atakuwa mahabusu. Malinzi amefikishwa leo mahakamani akiwa na katibu...

Download wimbo mpya wa Mr Blue Ft Jr unaoitwa "Siwezi".

Download wimbo mpya wa Mr Blue Ft Jr - Siwezi. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa                             Follow me instagram>>>Bonyeza...

Dawa Mpya ya UKIMWI Yaanza Kutumika Kenya.

Hatimaye Kenya imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuanza kutumia vidonge vya ugonjwa wa Ukimwi ambavyo vinaweza kuboresha afya na kurefusha maisha ya maelfu ya watu wanaosumbuliwa na magonjwa nyemelezi na ambayo hayakubali tiba nyingine. Jina la dawa hiyo kitaalamu ni Dolutegravir (DTG), lakini itajulikana kama Tivicay, na inazalishwa na ViiV Healthcare, kampuni...

MREMBO Anayesemakana ni Mdogo wa Zari (Asmah Honey) Awakana Zari , Patrick PCK na Irene Uwoya.

Mrembo wa haja anayejulikana mitandaoni kama Asmah Honey amejikuta katika wakati mgumu baada ya ku andikwa kuwa yeye ni mdogo wa Zari na anatoka kimapenzi na Mwanaume Mpenda kiki za Bure Patrick PCK , Honey ametuhabarisha kuwa Ndugu zake na marafiki wanampigia simu kuhusu tuhuma za kufumaniwa na kupigwa mawe na Irene Uwoya kitu ambacho kinamwaribia CV yake....... ASMA...

A to Z Kuhusu Kibano cha Malinzi na Mwenzake Takukuru.

RAIS wa Shirikisho la Soka (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo, Selestine Mwesigwa, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kutokana na tuhuma za rushwa. Akizungumza na Nipashe jana, Ofisa Uhusiano na Mawasiliano wa Takukuru Makao Makuu, Mussa Misalaba, alisema waliwakamata wawili hao juzi kabla ya kuwahoji kwenye ofisi...

Mchezaji Donald Ngoma si wa Mchezo..Akata Mzizi wa Fitina...Yanga au Simba? Jibu Hili Hapa.

Mshambuliaji wa  Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao. Kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za timu hiyo wamethibitisha taarifa za usajili huo kwa kuandika “Donald Ngoma Raia wa Zimbabwe ni mali ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.” Ngoma ambaye alikuwa akihusishwa...

Tuesday, 27 June 2017

DAVID Kafulila Afunguka Haya Kuhusu Escrow.

WAKATI gumzo nchi nzima likiwa ni wizi mkubwa ambao haujawahi kufanyika wa zaidi ya shilingi bilioni 300 kutoka akaunti iliyofunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ya Tegeta Escrow, imeelezwa kuwa baadhi ya wabunge walikuwa wakihatarisha maisha yao na wengine wamepoteza ubunge kwa sababu ya kupinga ufisadi huo. Vinara wa kufichua sakata hilo, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma...

HATIMAYE..Rayvanny Akamilisha Ndoto yake Kwa Jason Derulo.

Kushindwa kutumia fursa kwa kila nafasi unayoipata imeonekana ni dhambi kubwa kwa wasanii wa WCB. Hatimaye Rayvanny amekamilisha ndoto yake aliokuwa akiiota kwa muda mrefu. Hitmaker huyo wa Zezeta, ambaye siku chache zilizopita alinyakuwa tuzo ya BET, amefanikiwa kukamilisha kufanya kazi na Jason Derulo kutoka Marekani. Kupitia mtandao wa Instagram, Ray ameweka picha...

CCM yaendelea na Operesheni ya Kutumbua Wasaliti.

KATIBU wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema viongozi na watendaji watakaoitumia CCM kwa faida yao binafsi siku zao zitahesabika. Aidha, Polepole alisema chama hicho kitaendelea kuwa imara na daraja kati ya wananchi na serikali yao ili kuhakikisha kinawasemea watu wengi, maskini na wanyonge ambao haki zao zimeporwa na kupokwa...

Gabo amzungumzia Kanumba na Wema Sepetu.

Msanii wa Filamu Tanzania, Gabo amesema si kweli tasnia ya filamu imeshuka baada ya kifo cha Steven Kanumba. Muigizaji huyo ameeleza kuwa watu wengi wanaamini kutokuwepo Kanumba kumedhoofisha soko kutokana alikuwa wenye kuleta changamoto ambayo kwa sasa haipo. “Sio kweli industry ipo vile vile, kwa hiyo jamaa alikuwa analeta changamoto kwa wacheza sinema wengi sana...

Download wimbo mpya wa Young Killer unaoitwa "True Boya".

Download wimbo mpya wa Young Killer - True Boya. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa                             Follow me instagram>>>Bonyeza...

Download wimbo mpya wa WEUSI unaoitwa "Amsha Dude".

Download wimbo mpya wa WEUSI - Amsha Dude. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa                             Follow me instagram>>>Bonyeza...

WAANDISHI wa TBC Wanyang'anywa Kamera.

Tukio hilo limetokea juzi majira ya saa 9:00 alasiri katika Barabara ya Darajani­ Mnazi Mmoja, eneo maarufu la Shule ya Sekondari Ben Bella mjini Unguja. Akizungumza na gazeti la Nipashe, dereva wa gari la TBC Mohammed Awadhi alisema walitoka ofisini eneo la Maisara wakielekea Vuga katika majukumu yao ya kazi, lakini walipofika eneo hilo walivamiwa na kuporwa vifaa...

Download wimbo mpya wa Quick Rocka & OMG unaoitwa "WATASEMA".

Download wimbo mpya wa Quick Rocka & OMG - WATASEMA. Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa                             Follow me instagram>>>Bonyeza...

Kauli ya CHADEMA Baada ya Lowassa Kuitwa Polisi Leo Kwa Mahojiano.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Lowassa amepata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumtaka kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Jumanne, saa 4 asubuhi kwa ajili ya mahojiano. Mhe. Lowassa ambaye pia alikuwa Mgombea Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia CHADEMA,...