Malinzi
na Mwesigwa walifikishwa leo mahakamani Kisutu kwa mara ya pili na
kurejeshwa rumande hadi kesi yao itakaposikilizwa kwa mara nyingine
Julai 17, mwaka huu.
Wawili
hao wanakabiliwa na mashitaka mbalimbali kuanzia 25 hadi 28 likiwemo
lile la matumizi mabaya ya ofisi na utakatishaji wa fedha.
Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri alisema upande wa utetezi wenyewe wanatambua kuwa mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment