Taifa Stars imetinga nusu fainali ya michuano ya Cosafa baada ya kuwatwanga wenyeji Afrika Kusini kwa bao 1-0.
Shuja
wa mechi hiyo ambaye ameibuka nyota wa mchezo huo amekuwa ni Elius
Maguri ambaye amefunga bao hilo pekee katika kipindi cha kwanza.
Kipa Aishi Manula mara kadhaa alilazimika kuokoa michomo mikali ya washambuliaji wa Afrika Kusini.
Safu
ya ulinzi iliyoongozwa na Erasto Nyoni na Salim Mbonde ilionekana kukaa
imara tokea kipindi cha kwanza lakini Muzamiru Yassin na Raphael Alpha
wakaonekana kufanya vizuri zaidi katika.
Simon
Msuva aliingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Thomas Ulimwengu na
kusaidia kuongeza nguvu ya kupandisha presha kwenye lango la Afrika
Kusini.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment