SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema halizuii mchezaji kufanya
kampeni za siasa, isipokuwa wasitumie sare za kimichezo hususan zenye
nembo za wadhamini.Hatua hiyo inafuatia TFF kubaini kuwepo kwa vitendo
vya wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya
Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za klabu na
wadhamini wa Ligi.Taarifa ya TFF imesema kwamba Katiba ya TFF ibara ya I
(4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion....
0 comments:
Post a Comment