Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Akamatwa kwa kupigisha kura za 'chap chap' Lowassa vs Magufuli.Fahamu zaidi hapa.
Jamaa mmoja huko Kariakoo anaripotiwa kukamatwa na Polisi kwa kuendesha
zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi,
kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo na yale
yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi na kuzua gumzo miongoni mwa
wafuatiliaji wa masuala ya siasa nchini Tanzania.
Taarifa hii na picha zifuatazo zimepokelewa kupitia WhatsApp.
Chanzo
http://www.wavuti.com/2015/09/twaweza- yamponza-akamatwa-kariakoo-kura-chapchap-lowasa-mafufuli.html
Related Posts:
Wabunge Acheni Kuwashwa Washwa na Kufanya Mambo ya Umbea- Ndugai.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amesema kwamba hana taarifa za kujiuzulu kwa mbunge wa Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu , na wala hiyo barua bado haijamfikia, na kuita kitendo alichokifanya ni… Read More
Nyarandu Akanusha Taarifa Zinazosambazwa Kwenye Mitandao ya Kijamii.
WAKATI Bunge likimtema rasmi aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Lazaro Nyalandu, mwenyewe amejitokeza na kuponda habari zinazosambazwa kueleza ubaya akisema ni uzushi.Jana Nyalandu alisema taarifa zinazosambazwa k… Read More
Babu Aliyemfanyia Tohara Dogo Janja Afunguka, Asema Irene Uwoya ni Size yake.
Babu mmoja Arusha amewatoa hofu mashabiki waliodai dogo janja huenda akawa anachapiwa mzigo na vijana wabemba nondo mjini,amedai kwa jinsi anavyomfahamu dogo janja alivyo lazima Uwoya atulie kabisa,pia ameongeza hata kama w… Read More
SOMA Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo.
Job Opportunity at Halotel TanzaniaJob Opportunities at Shugulika RecruitmentJob Opportunity at Mwananchi Communications Limited, ReporterJob Opportunity at Kibo Poultry Products, Senior AccountantJob Opportunity at CVPeopl… Read More
Breaking News: Waziri Majaliwa Anasa Semi Trailer 44 Zilizokua Zinataka Kutolewa Kinyemela Bandalini Amuagiza IGP Sirro Kukamata Wamiliki.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 29, 2017 amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simo Sirro kuwakamata Bw. Bahman wa Kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni wa Wallmark Bw. Samwel kwa kutaka kutoa Bandarini magari… Read More
0 comments:
Post a Comment