Thursday, 10 September 2015

Breaking News>>Msafara wa Mbunge John Heche mgombea Ubunge Tarime Vijijini kupitia Tiketi ya Chadema wavamiwa na Red Brigade wa Chadema kufariki hii leo.Fahamu zaidi hapa.

 ALICHOKISEMA MBUNGE JOHN HECHE MWENYEWE HIKI HAPA.
"Kuna taarifa mbaya kuwa msafara wa John Heche mgombea Ubunge Tarime Vijijini  kupitia Tiketi ya Chadema Umevamiwa na wafuasi wa CCM na kuuwa Red Brigade wa Chadema Tarima Vijijini Kata ya Nyanungu"
Toa maoni yako hapa

0 comments:

Post a Comment