Siku Moja Tu watu wang’oa Bango la Mtaa wa Victor Wanyama.
Unaweza usiamini, jana tu ilitolewa zawadi ya mtaa, asubuhi ya leo tayari bango la Mtaa wa Victorr Wanyama limeng’olewa.
Taarifa zinaeleza wako ambao walitaka kuiba bango hilo kwa ajili ya
vyuma chakavu lakini wengine wan…Read More
USAJILI:Mashabiki wa Yanga SC Wachoma Jezi ya Niyonzima.
Kuondoka kwa mchezaji Haruna Niyonzima ndani ya klabu ya Yanga SC,
kumeonyesha kuwaumiza mashabiki wa klabu hiyo ambapo moja kati ya kundi
la mashabiki wameamua kuchoma jezi ya mchezaji huyo.
Mashabiki wakionekana kuicho…Read More
0 comments:
Post a Comment