Mgombea
Mwenza wa kupitia tiketi ya Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akizungumza na wananchi
wa kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya kuzuia msafara wake.

Msafara
wa mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni ukiwa
umesimama katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa
baada ya wananchi kuusimamisha katika kijiji hicho wakiitaji kuutubiwa.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Mgombea
Mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akiagana na Ofisa wa
Polisi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kasanga
mkoani Rukwa.
Gari
la mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Duni Haji likilazimika
kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu
ya kutaka ahutubie mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kisumba Wilaya
ya Kalambo mkoani Rukwa leo.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya mti ili kumuona mgombeamwenza wa Chadema UKAWA wakati akihutubia wakazi wa kijiji cha Kisumba Rukwa.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Hili ni Jengo la zahanati ya Kasanga.
Mgombea
Mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akiwajulia hali
wananchi waliofika kupata huduma katika zahanati ya Kasanga iliyopo
katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.

Hili ni Majengo ya zahanati ya Kasanga
Mgombea
Mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akitoka katika jengo la
mahabara la zahanati hiyo ambalo limejengwa na Chama cha Demokrasia na
Maendeleo Chadema.
Mgombea mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akikagua choo cha zanahati ya kijiji cha Kasanga.
Mgombea
Mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akikagua zahanati ya
Kasanga kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji
cha Kasanga mkoani Rukwa. Kulia ni tabibu msaidizi wa Zahanati hiyo,
Eliudi Humbo.
Mgombea
Mwenza wa kupitia Chadema UKAWA, Juma Haji Duni akipata maelezo kutoka
kwa tabibu msaidizi wa zahanati ya Kasanga, Eliudi Humbo alipotembelea
zahanati hiyo kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha
Kasanga mkoani Rukwa.
0 comments:
Post a Comment