Okwi,Bocco Waahidi Kupata Ubingwa wa Ligi Kuu.
BAADA ya Simba kutolewa katika Kombe la Shirikisho Afrika, mastraika wa timu hiyo John Bocco na Emmanuel Okwi kwa pamoja wameapa kufia uwanjani ili Wekundu wa Msimbazi wabebe ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.Simba iliondo…Read More
MOURINHO AGEUKA KUWA MBOGO, HAMTAKI POGBA KIKOSINI.
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, ameshindwa kuvumulia kelele zinazoendelea mitandaoni baada ya kusema rasmi hamuhitaji mchezaji Paul Pogba kwenye kikosi chake.
Kauli hiyo imekuja kutokana na wawili hao kuteka vich…Read More
0 comments:
Post a Comment