Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>Mgombea Mwenza CCM Samia Suluhu akionyesha kadi za CUF na Chadema, kutoka kwa wanachama waliohamia CCM Ikwiriri, Rufiji.Fahamu zaidi hapa.
Breaking News>>>Sugu Apelekwa Mahabusu Baada ya Kunyimwa Dhamana.
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amepelekwa mahabusu ya gereza la
Ruanda mkoani Mbeya baada ya kukosa dhamana katika kesi ya uchochezi
inayomkabili.
Sugu na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanue…Read More
Kiongozi wa Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili Atumbuliwa .
Waziri wa elimu, sayansi, teknolojia na ufundi Profesa Joyce Ndalichako
ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mkuu wa kitengo cha Manunuzi wa Chuo
Kikuu Cha Afya Muhimbili (MUHAS) kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
Akizun…Read More
Maalim Seif Amtembelea Kingunge Hospitali Kumjulia Hali.
January 18, 2018 Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad
amemtembelea Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru
aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Maalim Seif amempa pole ya…Read More
0 comments:
Post a Comment