VIDEO: Sababu iliyofanya uchaguzi Mkuu wa TFF kusitishwa leo.
Wakati headlines za hatma ya Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF
Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake Selestine Mwesigwa zikiendelea
kutawala wakiwa chini ya mikono ya sheria kwa tuhuma mbalimbali,
headlines mpya zimeib…Read More
Breaking News>>>Jamali Malinzi hatoweza kushiriki uchaguzi TFF.
Rais wa TFF, Jamal Malinzi hataweza kutetea kiti chake cha urais.
Malinzi hataweza kwa kuwa kesi iliyomfikisha mahakamani leo itasikilizwa
tena Jumatatu Julai 3 na Malinzi atakaa rumande hadi siku hiyo.
Usaili wa viongoz…Read More
A to Z Kuhusu Kibano cha Malinzi na Mwenzake Takukuru.
RAIS wa Shirikisho la Soka (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wa
shirikisho hilo, Selestine Mwesigwa, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia
na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kutokana na tuhuma za rushwa.
Akizungumza na Ni…Read More
BREAKING NEWS>>>FIFA WAINGILIA KATI ISHU YA MALINZI (VIDEO)
SHIRIKISHO
la Soka la Kimataifa (Fifa) muda wowote kuanzia sasa litatuma maofisa
wake kuja nchini kufuatilia tuhuma za utakatishaji fedha alizonazo Rais
wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi. Malinzi na
we…Read More
0 comments:
Post a Comment