Thursday, 10 September 2015
Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Timu ya Azam FC wakiwa kwenye chakula cha usiku maalum kwa ajili ya kupongezana na kutakiana kila la heri kwa ajili ya msimu ujao.Jionee picha za matukio hapa.
#MICHEZO>>>Timu ya Azam FC wakiwa kwenye chakula cha usiku maalum kwa ajili ya kupongezana na kutakiana kila la heri kwa ajili ya msimu ujao.Jionee picha za matukio hapa.
Related Posts:
#BAD NEWS>>>SAMATTA ANASUBIRI VIPIMO KUJUA KAMA PUA IMEVUNJIKA.FAHAMU ZAIDI HAPA. Ilibidi Samatta apumzike baada ya kipindi cha kwanza kutokana na maumivu aliyoyapata kipindi cha kwanza kwa kugongwa puani Jumapili April 24 usiku timu ya Genk ilishuka dimbani kuchuana na Gent lakini taarifa mbaya kuhusu … Read More
#MICHEZO>>>>IJUE SAGRADA ESPERANCA ‘MWADUI YA ANGOLA’ AMBAYO ITECHEZA NA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO.FAHAMU ZAIDI HAPA. Esperanca kwa sasa wanafundishwa na kocha kutoka Serbia, Zoran Mackic. Wana wachezaji watano raia wa kigeni, wareno wawili, wakongo wawili na mghana mmoja. Timu hii inatoka mji wa Dundo, mji wenye utajiri wa madini … Read More
#MICHEZO>>>TETESI: Donald Ngoma wa Yanga kucheza Europa msimu ujao.Fahamu zaidi hapa. Ngoma aliye katika msimu wake wa kwanza kwenye Mkataba wa miaka miwili aliosaini kutoka FC Platinums ya Zimbabwe Julai 2015, ametokea kuwa kipenzi cha wana Yanga Timu moja ya Ligi Kuu ya Yugoslavia ambayo mwakani itacheza… Read More
#MICHEZO>>>>ILE MECHI ILIYOVUNJIKA COASTAL VS YANGA, TFF IMETOA MAAMUZI HAYA.FAHAMU ZAIDI HAPA. Daktari wa Yanga akimpa huduma ya kwanza mshika kibendera Charles Simon baada ya kuzimia kufuatia kupigwa na jiwe kichwani (Picha kwa hisani ya salehjembe.blogspot) Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe … Read More
#MICHEZO>>>Picha 5:: Refa Alivyoumizwa na Mashabiki Wa Coastal Union Wakicheza na Yanga.Jionee hapa. Mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup (FA Cup) kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga umeshindwa kumalizika kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga kutokana vurugu za mashabiki. Mwamuzi wa pambano hilo alilazim… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment