Home »
Burudani
» #BURUDANI>>> Wema: Licha ya Kuniacha, Nitazaa na Idris.Fahamu zaidi hapa.
LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu
wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka
kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi
anavyojali na mwenye huruma nyingi.
Akiteta na Amani hivi karibuni, Wema alisema atajisikia fahari sana
endapo mtoto wake wa kwanza angezaa na Idris kwa kuwa amemuonesha
dhahiri kuwa ni baba bora.
“Kiukweli namuomba sana Mungu kila kukicha, baba wa mtoto wangu awe
ni Idris kwa kuwa ni mwanaume pekee ambaye naona ni mwenye mapenzi ya
dhati kwangu,” alisema Wema.
Chanzo: Amani
Related Posts:
Haitham Atoboa Siri kwanini Wema Sepetu Hakutokea Kwenye Video yake
Msanii wa Bongo Fleva, Haitham amefafanua sababu ya Wema Sepetu
kutoonekana katika video ya ngoma yake mpya ‘Play Boy’ ambayo
amemshirikisha mrembo huyo.
Haitham amesema kulikuwa na mipango ya kufanya video na Wema na … Read More
Mwimbaji Rose Mhando Awashukia Wanaomsema Vibaya.
STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu
wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha
kuwa mwimbaji ambaye nyimbo zake zinawabariki wengi.
Rose aliliambia Wikienda kuw… Read More
VIDEO:Nikki Mbishi Atoa Video na Kuwadiss Waliodai Kutekwa, na Bashite.
Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka foka, Nikki Mbishi au muite Baba
Malcom amechia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kama
Unatafuta Kiki.
Wimbo huu umewa-diss wasanii mbalimbali nchini ambao anadai kuwa wana… Read More
MAMENEJA Sallam SK, Babu Tale, Mkubwa Fella, Wamesusa Wasanii wao Wanabanana WCB Kwa Diamond.
Nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection
kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake
anabanana WCB.
sallam nakumbuka ni meneja wa AY naona kamkimbia anabanana na WCB… Read More
Diamond Platnumz Aweka Wazi Ufreemanson Wake.
Nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ ameendelea
kuzua maswali kuwa ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu
shetani, Freemason au La? tetesi hizo zilianza kitambo lakini sasa
zimeshika kasi b… Read More
0 comments:
Post a Comment