Home »
Burudani
» #BREAKING NEWS>>>KOFFI OLOMIDE AKAMATWA NA KUPIGWA PINGU NCHINI CONGO AKIWA NYUMBANI KWAKE.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamuziki mashuhuri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekamatwa akiwa nyumbani kwake mjini Kinshasa.
Mwanamuziki huyo amekamatwa kwa agizo la ofisi ya mwendesha mashtaka.
Olomide alitimuliwa kutoka nchini Kenya baada ya video kuonekana
kuonesha akimpiga teke mchezaji ngoma wa kike katika uwanja wa ndege wa
Jomo Kenyatta mapema asubuhi baada yake kuwasili.
Alipangiwa kutumbuiza mashabiki wake Bomas of Kenya siku ya Jumamosi lakini tamasha hiyo ikaahirishwa.
Alikamatwa Ijumaa usiku na maafisa wa polisi wa Kenya na siku iliyofuata asubuhi akaingizwa kwenye ndege na kurejeshwa Kinshasa.
Related Posts:
Hii Ndio Barua Nzito Aliyoandika Shamsa Ford Kwa Mumewe Ambaye Amehusishwa na Kesi ya Madawa ya Kulevya.Fahamu zaidi hapa.
Hakika ukipata mwanamke Kama huyu usimuache… Na huu ndio ujumbe wa shamsa kwa mumewe .Shamsa Ford ameandika Haya:
Nilipoolewa nilijua ipo siku nitapitia hivi vitu huzuni,furaha,
maudhi, kudharauliwa, kuchekwa na nk.ila p… Read More
Jokate akutana na Mastaa Jay Z na Beyonce nchini Marekani.Fahamu zaidi hapa.
Asubuhi
ya leo, mrembo Jokate Mwegelo kutoka nchini Tanzania amepokea pongezi
kutoka kwa watu mbalimbali baada ya kuchapisha picha kwenye kurasa zake
za Insagram na Twitter akiwa pamoja na wanamuziki maarufu duniani.
… Read More
Rasmi..Flora Mbasha Achumbiwaaa.Abadilisha Jina la Mbasha Sasa Anataka Aitwe Jina Hili..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya wanandoa ambao ni wanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili,
kuingia katika mzozo miaka minne iliyopita, mmoja wao Flora Mbasha
amechumbiwa na anatarajiwa kufunga ndoa ya pili hivi karibuni mkoani
Mwanza.
… Read More
Mbasha, Miss TZ Mapenzi Mubashara...!!!!!.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya kuficha uhusiano wao, Mwimbaji wa Gospo Bongo, Emmanuel Mbasha
na Mshiriki wa Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa, sasa siyo siri tena
kwani Wikienda lina picha zao mubashara wakiwa kwenye mahaba niue. Mtu
ali… Read More
Wolper Afunguka Kulewa Pati ya Mtoto wa Diamond..Nillan.Fahamu zaidi hapa.
BAADA ya kuwa ‘topic’ kwenye sherehe ya 40 ya mtoto wa Nasibu Abdul
‘Diamond’, Nillan iliyofanyika hivi karibuni, Muigizaji Jacqueline
Wolper ameibuka na kusema katika maisha yake yote hajawahi kulewa.
Lich… Read More
0 comments:
Post a Comment