*_Mhe Lembeli amerudi chama cha CCM hivi mchana wa leo katika mkutano mkubwa wa Mhe Mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli… Huko mjini Kahama. Anasema haoni sababu ya kwenda na “..safari ya uhakika isiyo na uhakika… kule hamna kitu.”_*
Sunday, 31 July 2016
Home »
Habari Moto
» #BREAKING NEWS>>>>JAMES LEMBELI ARUDI CCM KUTOKA CHADEMA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
#BREAKING NEWS>>>>JAMES LEMBELI ARUDI CCM KUTOKA CHADEMA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
Uzushi Ambao Umesambaa Kuhusu Wanawake wa Zanzibar na Ubikira Wao. Nimegundua kuna uzushi ambao umesambaa sana hasa huku Tanzania bara juu ya wanawake wa Zanzibar, hivyo mimi nimeamua kuja kuweka ukweli wote hapa. Kuna mada ilipostiwa juzi hapa JF, kuhusu mikoa ya Tz na wanawake bikra … Read More
Jaji Mkuu Aliyefuta Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Kenya Atua nchini.Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ametua nchini katika mkutano wa majaji na mahakimu akionekana kivutio kwa wengine. Jaji huyo ni mmoja wa majaji wakuu 13 kutoka nchi mbalimbali duniani wanaohudhuria mkutano majaji na mahaki… Read More
Ofisi Nyingine za Mawakili Zavunjwa na Kuporwa Vifaa. Wiki mbili baada ya ofisi za mawakili ya Prime Attorneys jijini Dar es Salaam kuvamiwa usiku wa manane na watu wasiojulikana, ofisi nyingine ya mawakili imefanyiwa uhalifu wa aina hiyo mjini hapa. Katika uvamizi wa ofisi… Read More
Maneno ya Godblee Lema Baada ya Kukamatwa Msigwa 'Msiogope Baada ya Giza Nene Asubuhi Utokea'. Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema ameeleza baada ya Mbunge wa Iringa Mjini kukamatwa jana wakati akiwa katika mkutano wake katika kata ya Mlandege Manispaa ya Iringa. Lema kupitia ukurasa wake wa Twitter … Read More
Rais Magufuli Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Kilichoanza Leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Septemba 27, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam. … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment