Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>SAMATTA ATUPIA PENATI GENK IKISONGA MBELE EUROPA LEAGUE.Fahamu zaidi hapa.
Usiku wa Julai 21 Genk ilikuwa uwanja wa ugenini kuikabili timu
ya Buducnost kwenye michuano ya kuwania kupangwa hatua ya makundi ya
michuano ya Europa League.
Katika mchezo huo uliomalizika kwa kwa Genk kufungwa bao 2-0, ilibidi
umauliwe kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 30 za nyongeza
kumalizika kwa matokeo ya 2-0 yaliyosabaisha matokeo ya jumla kuwa sare
ya 2-2.
Ikumbukwe mchezo wa awali (Julai 14) takriban juma moja lililopita
Genk ilipata ushindi wa magoli 2-0 kwenye uwanja wake wa nyumbani huku
Samatta akifunga bao la pili.
Samatta akicheza kwa dakika zote 120, alifunga moja ya penati ambazo
ziliisaidia timu yake kusonga mbele kwenye michuano hiyo. Mikwaju ya
penati kwa upande wa Genk ilifungwa na Dries Wouters, Mbwana
Samatta, Bryan Heynen na Thomas Buffel na kuvusha Genk kwenda raundi ya pili kwa jumla ya penati 4-2.
Genk itapambana na klabu ya Cork City kutoka Jamhuri ya Ireland
katika raundi ya pili ya kutafuta tiketi ya kucheza Europa League hatua
ya makundi.
Related Posts:
SIMU INAWEZA KUMTIA PAUL POGBA MATATANI, USHAHIDI HUU HAPA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kiungo wa bei kubwa wa Manchester United, Paul Pogba anaweza kuingia
matatani baada ya kuonekana akiendesha gari huku akitumia simu kitu
ambacho ni kinyume na sheria za uendeshaji gari nchini England.
Pogba
ameonek… Read More
WAKATI AKIJIFUA NA KIKOSI BARCELONA, WASWIDI WAIOMBA TFF KIBALI CHA ULIMWENGU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kila
kitu sasa safi kwa mshambuliaji Thomas Ulimwengu katika kikosi cha AFC
Eskilstuna kinachoshiriki Ligi Kuu ya Sweden, kwani licha ya kuanza
mazoezi, timu hiyo imemuombea Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC)
mchezaji… Read More
MANE AIMWAGA SENEGAL NJE YA AFCON, AKOSA PENALTI YA MWISHO, CAMEROON YASONGA NUSU FAINALI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Senegal iliyokuwa inapewa nafasi kubwa
ya kubeba ubingwa wa Afcon, imetolewa katika hatua ya robo fainali na
Simba Wasioshindika, Cameroon wamesonga mbele.
Cameroon wamesonga mbele baada ya
ushindi wa penalti 5-4, pe… Read More
LWANDAMINA ASHITUKIA PRESHA YA KUKAA KILELENI, AWAPA SOMO WACHEZAJI KABLA YA MWADUI LEO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kocha
George Lwandamina amewata wachezaji wake kuondoa presha ya kuwaza
kurejea kileleni na badala yake wacheze kwa lengo la kuishinda Mwadui
FC, leo.
Yanga inakutana na Mwadui FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwen… Read More
MESSI ALIVYOMNUNULIA MAMA YAKE CHUPA YA MVINYO KWA MILIONI 1.3.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Lionel
Messi ameonyesha fedha si chochote kwa mzazi, maana amenunua chupa
mvili za mvinyo kila moja ikiwa na thamani ya pauni 430 (zaidi ya Sh
milioni 1.3).
Maana yake kwa chula mbili ni Sh milioni 2.6 ikiwa ni kukam… Read More
0 comments:
Post a Comment