Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>WAYNE ROONEY AINGIWA HOFU MAN UNITED.Fahamu zaidi hapa.
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney amekiri kwamba yuko kwenye
wakati mgumu baada ya klabu kuanza kuleta wachezaji wenye majina
makubwa.
Hadi sasa United imeshakamilisha usajili wa wachezaji watatu Eric
Bailly Henrikh Mkhitaryan na Zlatan Ibrahimovic huku kukiwa na kila
dalili ya kumsajilia Pogba pia.
Kiongozi huyo wa wachezaji wa mashetani wekundu amesema anatakiwa
kuwa kwenye kiwango bora ili kuendelea kulinda nafasi yak echini ya
kocha mpya Jose Mourinho.
“Wakati wote unatakiwa kuthibitisha ubora wako katika kila msimu,
kwasababu ni ndoto ya kila mchezaji kupata nafasi ya kucheza. Nadhani
unakuwa na furaha ukiwa unacheza kwenye kikosi cha Manchester United.”
Related Posts:
#MICHEZO>>>BEKI MPYA SIMBA ALIYEFIWA NA MAMA YAKE AREJEA KAMBINI NA KUANZA KAZI.Fahamu zaidi hapa.
SEMWANZA
Simba
tayari imekamilika katika mazoezi ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi
Kuu Bara baada ya beki wa kati wa timu hiyo, Emmanuel Semwanza kurejea
kikosini katika kambi ya timu hiyo huko mkoani Morogo… Read More
#MICHEZO>>>>AZAM FC SASA INAVYOPAMBANA KUMPATA MRITHI WA KIPRE TCHETCHE.Fahamu zaidi hapa.
Katika
kuhakikisha wanaziba nafasi ya mshambuliaji wao, Kipre Tchetche
anayeusumbua uongozi wa Klabu ya Azam FC, mtendaji mkuu wa klabu hiyo,
Saad Kawemba yupo nchini Ghana kumalizana na straika hatari wa timu ya
Medea… Read More
#MICHEZO>>>KILA USICHOKIJUA KUHUSU PAUL POGBA HIKI HAPA.
AMEFUNGA MABAO 7 YA MGUU WA KUSHOTO, 25 KULIA, KICHWA MAWILI NA UTAONA UKALI WAKE NDANI NA NJE YA BOKSI.… Read More
#MICHEZO>>>>Vitu alivyoongea bilionea Mohammed Dewji katika mpango wake wa kuinunua Timu Ya Simba.Fahamu zaidi hapa.
Kuelekea
mkutano mkuu wa Simba unaotaraji kufanyika Jumapili ya Julai, 31,
shabiki na mkeleketwa wa Simba ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa
Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group), Mohammed Dewji
amezungu… Read More
#MICHEZO>>>>BIA YA KILIMANJARO RASMI YAAMUA KUACHANA NA SIMBA.Fahamu zaidi hapa.
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), imeamua kutosaini mkataba wa kuendelea kuidhamini Simba.
Taarifa
kutoka ndani ya Simba, zinaeleza TBL imegoma kusaini mkataba ikionekana
kuingia hofu baada ya Yanga kutotaka kuendelea … Read More
0 comments:
Post a Comment