Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>LIVERPOOL YASAJILI MBADALA WA TOURE.Fahamu zaidi hapa.
Liverpool wamefanikiwa kumnasa beki Ragnar Klavan kutoka klabu ya Augsburg ya Ujerumani kwa mkataba wa miaka mitatu.
Klavan (30) ambaye amesajiliwa na ada ya paundi milioni 4.2 ataungana
na wenzake Jumanne ijayo nchini Marekani ambapo wameweka kambi kwa
ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi.
Beki huyo mwenye uzoefu mkubwa amesajiliwa kwa jili ya kusaidiana na
Mamadou Sakho na Joe Gomez ambao kwa sasa wanasumbuliwa na majeraha
Atakuwa akivaa jezi namba 17 ambayo awali ilikuwa ikivaliwa na Sakho
Nahodha huyo wa Estonia anakuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na
Liverpool msimu huu huku akiwa ni mchezaji wa tatu kusajiliwa kutoka
Bundesliga chini ya utawala wa Klopp.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>YANGA YASEMA IMETUMA MAJINA TMS, TFF, CAF NA KILA KITU KIKO SAWA LABDA IWE HUJUMA INATENGENEZWA MAKUSUDI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kumekuwa
na taarifa kuwa Yanga haikutuma majina ya wachezaji wake katika Mtandao
wa Usajili wa Kimataifa (TMS) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
limekaririwa likithibitisha hilo.
Lakini
uongozi wa Yanga, umes… Read More
#MICHEZO>>>AVEVA AWAONGOZA VIONGOZI, WANACHAMA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA UWANJA WA BUNJU.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Viongozi
mbalimbali wa klabu ya Simba wakiongozwa na Rais wao, Evans Aveva
wamefika katika eneo la Bunju jijini Dar es Salaam, kufanya ukaguzi wa
maendeleo ya ujenzi wa uwanja wao.
Ujenzi
wa uwanja wa mazoezi … Read More
#MICHEZO>>>>HUYU NDIYE IBRA CADABRA, APIGA BAO LA PILI MAN UNITED IKIITWANGA LEICESTER CITY 2-1 NA KUBEBA NGAO YA JAMII.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Manchester United XI: De
Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw (Rojo 69), Carrick (Herrera 61),
Fellaini, Lingard (Mata 63, Mkhitaryan 90+3), Ibrahimovic, Rooney
(Schneiderlin 88), Martial (Rashford 70)
Subs not u… Read More
#MICHEZO>>>>SIMULIZI LA SERENGETI BOYS ILIVYOKOMAA NA WASAUZ LIKO HIVI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Ikicheza
mbele ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal
Malinzi na Naibu Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Rosemary
Chambe Jairo, timu ya soka ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17
maa… Read More
#MICHEZO>>>ULISHANGAA ILE ISHU YA WACHEZAJI LEICESTER KUPEWA MAGARI, BAYERN WAO NI KILA MSIMU, KILA MCHEZAJI GARI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Hivi
karibuni mmiliki wa Leicester City, alitoa magari kwa kila mchezaji wa
kikosi hicho baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa England.
Vichai
Srivaddhanaprabha aliwapa wachezaji wake kila mmoj… Read More
0 comments:
Post a Comment