Tuesday 19 July 2016

#HIVI PUNDE>>>>>MAMBO YAANZA DODOMA HIVI NDIVYO KHALI ILIVYO KWA SASA MITAA YA DODOMA.Fahamu zaidi hapa.

Zikiwa zimesalia siku nne kabla Rais John Magufuli kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, mjini wa Dodoma umeendelea kupambwa bendera za chama hicho katika maeneo mbalimbali.

Zaidi ya vijana 70 wa CCM wamefanya kazi ya kuzunguka maeneo mbalimbali ya mji huo wakipamba kwa kuweka bendera mitaa na baadhi ya vyombo vya usafiri ikiwemo magari, bajaji, pikipiki hadi kwa wafanyabiasha ambao ni wapenzi wa chama hicho.

0 comments:

Post a Comment