Home »
Michezo
» RATIBA YA VPL 2016/17 HADHARANI, ANGALIA TIMU YAKO INAANZA NA NANI?........Fahamu zaidi hapa.
Baada ya tuzo kutolewa kwa wachezaji, vilabu pamoja na makocha
waliofanya vizuri kwenye msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kutoka,
tayari bodi ya ligi imetoa ratiba kwa ajili ya msimu ujao wa ligi
(2016/17)
Ratiba hiyo inaonesha ligi kuu Tanznia bara itaanza kuchezwa August
20, 2016, kutaka kujua timu yako itaanza na wapinzani gani, angalia
ratiba hapa chini.
Related Posts:
#MICHEZO>>>>Thomas Ulimwengu Aondoka TP Mazembe, Afuata Ndoto zake Kucheza Ulaya.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya kucheza misimu mitano kwenye klabu ya TP Mazembe, mchezaji wa
Taifa Stars, Thomas Ulimwengu ameondoka kufuata ndoto zake kucheza
Ulaya.
Mchezaji huyo aliyekuwa akivaa jezi namba 28 na aliyepewa jina la utani
‘R… Read More
MWAMBUSI ATAIONGOZA YANGA KWA MUDA, LWANDAMINA ATAANZA KAZI MWEZI UJAO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kocha
Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi atakiongoza kikosi cha Yanga katika
mechi zilizobaki hadi hapo kocha mkuu mpya atakapoanza kazi.
Taarifa za ndani kutoka Yanga zinasema George Lwandamina raia wa Zambia ataanza k… Read More
BAO LA NGASSA KIVUTIO, AANZA KUONYESHA CHECHE ZAKE OMAN.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mshambuliaji
mpya wa Fanja ya Oman, Mrisho Ngassa ameanza kuonyesha makali yake
baada ya kuifungia timu yake bao katika mechi iliyochezwa mwishoni mwa
wiki iliyopita.
Ngassa
aliyewahi kuzichezea Yanga na Simba kwa v… Read More
PLUIJM AKABIDHI BARUA YA KUJIUZULU YANGA, WAMKUBALIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kocha Hans van der Pluijm ameachia ngazi rasmi kuinoa Yanga.
Pluijm ameamua kuachana na Yanga na barua yake ameikabidhi na uongozi wa Yanga tayari umemjibu.
Hii ni baada ya kamati ya Mashindano ya Yanga kuamua kumle… Read More
BAADA YA KUJIUZULU YANGA,HANS VAN DER PLUIJM ANUKIA AZAM FC.FAHAMU ZAIDI HAPA.
PLUIJM
Kocha Hans van der Pluijm ananukia Azam FC ambayo imeonyesha nia ya kumpa nafasi ya kuinoa.
Bado hakujawa na mwafaka kocha huyo raia wa Uholanzi, achukue nafasi ya kocha mkuu au mkurugenzi wa Ufundi.
Plui… Read More
0 comments:
Post a Comment