Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>ZARI AMKANA HUYU MTOTO MKUBWA KWAMBA SIO WAKE..HUKU MITANDAO IKIMSHUTUMU KUWA NI WAKE.Fahamu zaidi hapa.
Taarifa zimesambaa mtandaoni kuwa mpenzi wa msanii, Diamond Platnumz,
ambaye amezaa naye mtoto mmoja, Tiffa,Zari kuwa ana mtoto mkubwa aitwaye
Zuleha ambaye amekuwa akimficha na kumtambulisha mbele za watu kuwa ni
mdogo wake, Zari amekanusha taarifa hizo.
‘’Mimi mbona sina mtoto
mwingine wa kike zaidi ya Tiffah tu, achana na ambao hawana akili wavuta
bangi, wanatafuta kiki, hasira zao wananitolea mimi, anahangaika na
maisha, nina watoto watatu wa kiume na mmoja wa kike na kila mtu
anawafahamu hayo mambo mengine siyajui” Alisema Zari
Related Posts:
Italy hajulikani Alikiba wala Diamond - Hussein Machozi.Msanii wa muziki, Hussein Machozi, amefunguka kwa kudai kuwa, hakuna
msanii wa muziki kutoka Tanzania ambaye anajulikana nchini Italy.
Aidha amedai muimbaji kutoka Kenya, Stella Mwangi ambaye anaishi nchini
Norway, … Read More
UBUYU wa Moto Moto...Kumbe Lulu Diva Ashea’ Penzi na Shangazi Yake.
Ubuyu wa kutisha! Jipu limepasuka mjini kuwa muuza nyago na msanii wa
Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kushirikiana ‘kushea’ penzi
la bwana mmoja na shangazi yake pamoja na shosti yake wa karibu.
Kwa mujibu… Read More
Lulu Diva afunguka kushea Penzi na Shangazi Yake.
Ubuyu wa kutisha! Jipu limepasuka mjini kuwa muuza nyago na msanii wa
Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kushirikiana ‘kushea’ penzi
la bwana mmoja na shangazi yake pamoja na shosti yake wa karibu.
Kwa mujibu wa… Read More
VIDEO: Hivi Ndivyo ilivyokuwa Kwenye Harusi ya Flora Kusekwa (Frola Mbasha), jijini Mwanza.
Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry ‘Madam Flora’
amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke
kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.
Download Appl… Read More
RAY C -Hapa Kazi Tu, Mapenzi Baadaye.
Msanii mkongwe wa muziki, Ray C, amedai kwa sasa anapambana kuhakikisha anafanya vizuri katika muziki wake.
Muimbaji huyo ambaye aliwahi kufanya vizuri kipindi cha nyuma na wimbo
‘Mapenzi Matamu’, alikuwa kimya kwenye … Read More
0 comments:
Post a Comment