Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Pacha wa Magufuli Azua taharuki kariakoo.Fahamu zaidi hapa.
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amezua taharuki mitaa ya
k,koo baada ya kuwa na muonekano unaofanana na Rais wa jamuhuri ya
muungano wa Tanzania Jonh Pombe Magufuli.
Mtu huyo ambaye anafanana sana na Rais Magufuli alionekana kufatwa
kila anapoenda huku watu wakiwa wamemzunguka wakidhani Rais Magufuli
Kavamia Soko la K,koo..
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>Rais Magufuli aongoza mamia ya Watanzania kuaga mwili wa Samuel Sitta .....Atuma rambirambi kifo cha Mbunge Hafidh Ali Tahir.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe
11 Novemba, 2016 amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dar es
Salaam kuuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tan… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mke Wa Rais Mama Janeth Magufuli Aruhusiwa Kutoka Hospitali ......Awashukuru Madaktari.Fahamu zaidi hapa.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Sewahaji ya Hospitali ya Taifa
Muhimbili Jijini Dar es Salaam ameruhusiwa na kurejea nyumbani leo
tarehe 11 Novemba,… Read More
#YALIYOJIRI>>>Godbless Lema Arudishwa Rumande Baada ya Kunyimwa Dhamana Kwa Mara ya Pili.Fahamu zaidi hapa.
Ujanja
wa kisheria uliosababisha mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kukaa
mahakamani kwa saa 10, umemfanya kada huyo wa Chadema kukosa tena
dhamana.
Jana, Mahakama ya Hakimu Mkazi ilishatupilia mbali hoja za
S… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mahakama Yampa Siku 7 Profesa Lipumba na Msajili wa Vyama Kujibu Hoja za CUF.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
Kuu imewapa siku saba Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis
Mutungi na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake kujibu
madai ya chama hicho.
Msajili,
Lipumba na wenzake walipewa muda … Read More
UNAMJUA MKE WA DONALD TRUMP? NI MODO ILA MTATA KWELIKWELI.FAHAMU ZAIDI HAPA.Donald
Trump ndiye rais ajaye wa Marekani, ameshinda katika uchaguzi
uliofanyika wiki hii, matokeo hayo ni kama hayakutegemewa na wengi hasa
kutokana na aina ya maisha ya mteule huyo.
Trump
anajulikana kwa kuwa ni bilion… Read More
0 comments:
Post a Comment