Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>SASA BLOG NA WEBSITE ZOTE ZA TANZANIA KUANZA UPYA…TCRA YATOA HUU MWONGOZO.Fahamu zaidi hapa.
:Kampuni zote Tanzania zatakiwa kuanza kutumia dot-tz badala ya dot-com::
HII INA MAANA KWAMBA WALE WOTE WENYE BLOG,SITE ZISIZO KUWA NA DOMAIN
YENYE DOT TZ ITABIDI WAZIBADILISHE NA KUWA DOT TZ KAMA COUNTRY CODE KWA
TANZANIA
Related Posts:
Serikali Yasikia Kilio cha Mzee Maskini Aliyechora Nembo ya Taifa.
Mzee Francis Maige maarufu Ngosha, aliyechora nembo ya Taifa
amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) akitokea Amana alikokuwa
amelazwa.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi … Read More
Polepole Avishukia Vyama vya Upinzani Juu ya Mauaji ya Makada wa CCM na Polisi Yanayoendelea Kibiti.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole amekemea vikali mauaji yanayotokea mkoani Pwani.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa leo, Alhamisi Polepole
amesema kuwa kama CCM wanataka kuona m… Read More
Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack umezuiwa kuingia katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu.
Kahama. Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack umezuiwa
kuingia katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu alikokwenda kukagua iwapo
uzalishaji unaendelea bila kuwepo kwa Maofisa wa Wakala wa Ukaguzi wa
Mad… Read More
Watu wanne wameripotiwa kufariki dunia na Wanafunzi 18 wamejeruhiwa baada ya kutokea tetemeko huko Geita.
:TAARIFA ZA AWALI:Wanafunzi 18 wa shule ya sekondari Nyang’ware wamejeruhiwa baada ya kutokea tetemeko huko Geita.
Watu wanne wameripotiwa kufariki dunia na wengine
kujeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi maeneo ya mgodin… Read More
Baada ya Rais Magufuli Kufichua Ufisadi Mkubwa wa Serikali ya Awamu ya Nne na Tatu Jana..Afande Awataka Mkapa na Kikwete Kutubu.
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Afande Sele amefunguka na kusema kama
angekuwa ni mmoja kati ya Rais wa awamu ya tatu au awamu ya nne basi
angekaa kimya na kujifungia ndani huku akitubu na kuwaomba radhi
wananchi kwa m… Read More
0 comments:
Post a Comment