Taarifa zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na Blogs kadhaa Town, ni kuhusiana na kuvamiwa kwa wasanii wa Bongo Flava Ali Kiba na Barakah da Prince nchini Afrika Kusini.
Inaelezwa kuwa Majambazi hao walikuwa na silaha za moto, ambapo miongoni mwa vitu vilivyoibiwa ni simu zao za mikononi.
Uongozi wa Rockstar 4000 unaowasimamia wasanii hao, umedai kuwa kazi za wawili hao hazitokoma bali wamechukua mapumziko ya muda mfupi tu
0 comments:
Post a Comment