Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama hicho.
Sunday, 24 July 2016
Home »
Burudani
» #BURUDANI>>>>Wasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi.Fahamu zaidi hapa.
#BURUDANI>>>>Wasanii Wamlilia Kikwete Walipokuwa Wakimuaga Kwa Kustaafu Uwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#BURUDANI>>>>Wakati Wengine Wakifanya Unyaku Nyaku Diamond Asifia Urembo wa Zari Hassan Kutokana na Ujauzito wake.Fahamu zaidi hapa. Trending in Bongo leo ni pamoja na picha mpya ya Zari ambayo Diamond Platnumz ameitumia kusifia muonekano wake akiwa na ujauzito. Iki ni miongoni mwa couple zinazofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki Diamond aliweka ujumbe h… Read More
#BURUDANI>>>Idriss Sultan na Linah Sanga si Siri Tena..Picha yao Wakiwa Kitandani Wakifanya Yao Yavuja.Fahamu zaidi hapa. IMEBUMBURUKA! Sexy lady wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan, wanadaiwa kuwa ndiyo habari ya mjini kwa sasa kwani penzi lao siyo siri tena. Kwa mujibu wa sosi wa karib… Read More
#BURUDANI>>>>Baada ya Kutemana na Idriss Wema Sepetu Amkumbuka Luis Munana.Fahamu zaidi hapa. Baadhi ya mastaa bongo waliweka ujumbe tofauti kwa mashabiki wao kwaajili ya sikuku ya Eid, Wema Sepetu alitumia nafasi hio kumkumbuka Ex wake ambaye ni Model Mtanashati Luis Munana Luis Munana aliwahi kuripotiwa kuwa mp… Read More
Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?.. Kama ambavyo wewe umeshtuka, nami nilistuka hivyo hivyo kusikia habari za chini chini kumhusu huyu jamaa wa Bongo Movie aliyetamba sana miaka mitatu kurudi nyuma.. Nimekuja kuuliza tu kwa kuwa taarifa nilizopenyezewa na… Read More
#BURUDANI>>>Hakuna mtu atakayenipangia muziki wa kufanya – Nay wa Mitego.Fahamu zaidi hapa. Huenda sumu ya adhabu ya BASATA kwa Nay wa Mitego ikawa haikukolea vyema. Ni sababu rapper huyo ameibuka na kudai kuwa, hakuna mtu anayeweza kumpangia aina ya muziki wa kufanya, na kwamba hivi karibuni ataachia wimbo uit… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment