Manchester City Mfungaji ni Kevin de Bruyne aliyeshinda dakika ya 45 na West Ham United Wafungaji ni Victor Moses dakika ya 6 na Diafra Sakho dakika ya 31.
#MICHEZO>>>USAJIRI Mchezaji wa timu ya Chelsea kutimkia Juventus.
Nemanja
Matic kutimkia Juventus,Inasemekana Chelsea Wameafikiana makubaliano ya
paundi milioni 20 na mabingwa hao wa Serie A.Kocha anaekuja kuchukua
mikoba ya Hiddink,muitaliano Conte hajaridhika na mchezaji huyo kubaki
…Read More
0 comments:
Post a Comment