Sunday, 13 September 2015

#YALIYOJIRI>>>Mgombea Urais apokelewa na Mafuliko huko Iramba Magharibi mkoani Singida iyoo jana 13 september 2015.Jionee Picha za matukio hapa.



 Edward Lowassa akiwa anawautubia  wananchi wa Ilongero Singida mashariki waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni.

 Mhe. Edward Lowassa akiwasili Ilongero Singida mashariki, Jumapili 13/9/2015 kwa ajili ya mkutan.
 Hawa ni wananchi wa Ilongero Singida mashariki waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni.
 Huyu ni Mzee wa Ilongero Singida mashariki akiwa amejitokeza kuonesha kuwa na yeye mtaka mabadiliko kwenye mkutano wa kampeni.
 Hawa ni wananchi wa Ilongero Singida mashariki wakiwa wanaangalia vitambulisho vya wagombea mbali mbali wa UKAWA kwenye mkutano wa kampeni.
Mhe.Edward Lowassa akiwa akiwanadi madiwani wa Singida mashariki katika uwanja wa Ilongero.
Hawa ni wananchi wa Ilongero Singida mashariki wakiwa wanamshanglia Edward Lowassa kwenye mkutano wa kampeni.

Related Posts:

  • TCRA Yafafanua Matuzi ya Alama za Vidole Kwenye Usajili wa Laini. “Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa laini za simu alama za vidole zitatumika kuanzia Februari 5, 2018. Kwa mawasiliano zaidi tembelea maduka yetu,” ni ujumbe ambao watumiaji mbalimbali wa mitandao ya simu nchi wamet… Read More
  • Kimenuka Kenya...Raila Odinga Hatarini Kushtakiwa kwa Uhaini. MAMLAKA za Kenya, jana zilizima vituo vya televisheni kuzuia matangazo 'live' ya sherehe za kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani, Raila Odinga, ambaye alisusia uchaguzi wa marudio wa mwaka jana uliobishaniwa. Alijitangaza … Read More
  • Kampuni ya TTCL Yafutwa. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa, amesema kuwa anamshukuru sana Rais Magufuli kwa kuona umuhimu wa kuona wa kuwa na shirika la mawasiliano madhubuti kwa ajili … Read More
  • Hii Ndio Gharama ya Passport za Kielektroniki. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt.  Mwigulu Nchemba amesema kuwa gharama mpya ya hati ya kusafiria ya kielektroniki itakuwa Sh. 150,000. Dk Nchemba amesema hayo leo  wakati wa uzinduzi wa Hati ya kusafiria y… Read More
  • Polisi Wakamata Machungwa Yaliyoibiwa. Polisi wa huko jijini Seville nchini Hispania wakamata watu watano jana baada ya kufukuzana nao kwa kasi na ndipo hapo polisi waligundua tani hizo za machungwa zilizoibiwa ambazo watuhumiwa walikuwa wameyajaza ndani ya m… Read More

0 comments:

Post a Comment