"Nimeamua
kuondoka Chadema na vuguvugu la Ukawa kwa sababu mbalimbali: moja ni
ubovu wa kimfumo katika uongozi, uratibu na misimamo. Fujo: Wafuasi
wengi Ukawa bado wana muhemko kwenye kufanya mambo. Naamini uongozi wa
nchi unahitaji busara kuhimili kazi. Tumefeli hilo. Kwa siku 39
zilizobaki nitaongea na mamilioni ya mashabiki wangu kuhusu msimamo
wangu. Naondoka Chadema, nitamuunga mkono Magufuli". Hayo ni baadhi ya
maneno aliyoandika Aunt Ezekiel
0 comments:
Post a Comment