AISHI MANULA HUYU HAPA AMETUA NCHINI AFRIKA KUSINI.
Kipa mpya wa Simba, Aishu Manula nchini Afrika Kusini.
Simba iko kambini nchini Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya.
Manula ameungana na wenzake akitokea jijini Dar es Salaam.
Download Application ya Hebron…Read More
ISIHAKA AIKWEPA DARAJA LA KWANZA, ATUA MTIBWA SUGAR.
Nahodha
wa zamani wa Simba, Hassan Isihaka ameepuka Ligi Daraja la Kwanza
Tanzania Bara baada ya kutua Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili.
Isihaka alikuwa mchezaji wa Simba baadaye akatua African Lyon ambayo ime…Read More
LIPULI YAMNASA BUSUNGU KUIMARISHA SAFU YAKE YA "KUCHANA" NYAVU.
Baada
ya kumnasa Ditram Nchimbi kutoka Mbeya City ili kuimarisha safu yake ya
ushambulizi, Lipuli ya Iringa imemnasa Malimi Busungu.
Busungu amejiunga na Lipuli kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Mshambuliaji huyo alikuwa…Read More
UZI MPYA WA SIMBA HUU HAPA, WAANZA KUUZWA.
Jezi mpya ambazo zitavaliwa na Simba msimu ujao, zimekamilika.
Tayari mashabiki wataanza kuzipata mtaani ili kuhudhuria nazo katika Tamasha la Simba Day.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu ya…Read More
OKWI NDANI, ORLANDO PIRATES YAITWANGA SIMBA KWA BAO 1-0.
Simba imechapwa kwa bao 1-0 katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki baada ya maandalizi ya msimu wa 2017-18.
Simba
imelala kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wake Orlando Pirates katika mechi
iliyochezwa kwenye Uwanja wa Or…Read More
0 comments:
Post a Comment